Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 17,348
- 32,984
Zile kashfa zake za kujimilikisha vi-babe kwa gharama za TANAPA ameshaziweka vizuri?Ni taarifa za hivi karibuni kabisa kutoka kwa watu walio karibu na mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla.
Taarifa zinasema Kigwangalla atachukua fomu kesho pale Dodoma na tayari Wabunge wengi wameonyesha kumuunga mkono.
Je, atapita?.........ngoja tuone!
Pia huyo mwongo mwongo sana. Alisema kuanzia January atalipua mabomu hatanyamaza. Mwezi unakatika huu yupo kimya. Hatufai