Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,315
- 7,113
Wa Zanzibar 2020!Rais ajaye.noted
Wa Zanzibar 2020!Rais ajaye.noted
Zanzibar hiyo. We should avoid mambo hayo. Yataanza kujenga dhana ya kupasiana madaraka.Kama anasifa apewe tu Maji hufuata mkondo mbona Karume amekuwa Raisi na Baba yake alikuwa Raisi.
Kwani Mzee wa skafu umesikia akimpigia kelele nani?
okKwani wewe una undugu wowote na baba yako?
Kwanini sio 2020ndio rais 2025
Kwanini mpate shida tizameni mzee wake,mzee(rais alli hassan mwinyi) ni mtu mwenye haiba ya ucha mungu,mnyenyekevu asie na makuu,mwenye busara na hekima nyingi,mtulivu sana asiye na papara huwezi kumsikia akisema hadi atakiwe kusema,mzee huyu mola amemjaalia mambo mengi mazuri.Uko sahihi kabisa alipewa malezi bora na Mzee mwinyi, pia amesimamia wizara nyeti muda mrefu.
Namsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa
Ni kijana wakehuyo hussein mwinyi ni nani? ana undugu wowote na ali hassan mwinyi?
DragonKwani wewe una undugu wowote na baba yako?
True, Kule JWTZ anafanyakazi na wasaidizi ambao karibu wote wanamiliki nishani za utumishi uliotukuka. Na vilevile scandals za hiyo wizara hasa zile zinazohusisha JWTZ huwa hazivuji hovyo na hata zikivuja hakuna mwanasiasa wala media inayothubutu kuzivalia njuga hadharani tofauti na wizara za maliasiri au nishati nk.Anaongoza JWTZ
Ata mpigia kelele nani kule?
Apewe mambo yandani kama hajageuka kituko in few weeks
akina nani hao?huyu bwana sio kiongozi mzuri hapendi kujichangany na watu W/ulinzi inambeba sana akitupwa kwingine ataumbuka, n muda mwafaka pia mkawamkumbuk vijana wa hayati Jk Nyerere japo mmoja miongon mwao akiwa future president sio mbaya ili kumuenzi mwasisi wa taifa hili,
Mtoto wake wa kumzaahuyo hussein mwinyi ni nani? ana undugu wowote na ali hassan mwinyi?
Sisi tunataka kiongozi. Kama ni zaidi ya kiongozi tatizo tayarikwawkweli huyo ni zaidi kiongozi
Kigwangala baba yake mrundi,nchemba sio kiongozi ana ujuaji na siasa za show..rais ni kiongozi wa nchi..unaposema hachanganyiki unataka achanganyike na nani kwa lengo lipi?Hajawahi kuwa Waziri wa Wizara ya Mambo ya ndani
1) Alianza naibu Waziri wa Afya enzi za Mzee Mkapa waziri akiwa Anna Abdalla
2) Akateuliwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Muungano) wakati wa JK
3) Akateuliwa Waziri wa Ulinzi
4) Akatuliwa Waziri wa Afya
5) Akarudi tena Ulinzi
6) Awamu ya JPM akabakishwa Ulinzi
Kwa maoni yangu ni kweli ni Kiongozi Mkimya na mstaarabu lakin kwa siasa zetu za wakati huu hafai kuwa Rais kwa kuwa sio Mtu wa kujichanganya na sio Creative kiasi cha kuweza kufanya Maamuzi na kuyasimamia!
Mwigulu Nchemba au Hamis Adrea Kigwangala wanafaa sana kuwa Ma Rais wa awamu ya sita
kwa Maoni yangu Paul Christian Makonda anafaa sana kuwa Waziri Mkuu kwa kuwa hayumbishwi na shutuma, kwenye hilo namfananisha na Hayati Mzee Kawawa alivyokuwa ndio taulo la kufutia Uchafu wa Mwl Nyerere.
Huyu MH hata mimi ntampa kura yangu ya UraisNamsifu sana huyu waziri asiyependa majivuno, hana vijembe hakika huyu ndiye anastahili kupewa wadhifa mkubwa na kutupeleka inchi ya maziwa na Asali.
Tatizo ni chama kilichomlea na wastaafu wanao mzunguka.
Ila naamini 2025 watampa kupeperusha bendera anafaa