Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 12,417
- 30,927
Siwaelewi Hawa watu wanaposema eti wanaotaka katiba mpya ni wanasiasa hasa wa upinzani na sio wananchi Sasa swali langu kwao hicho kipimo Cha wananchi wanakipimaje? Wanataka itokee Nini ndio waseme Sasa wananchi wameamua? Au wananchi wafanye maandamano nchi nzima ndio watakubali kwamba Sasa wananchi wameamua wanataka katiba? Hebu nisaidieni nyie mnaowaelewa.Ndiyo maana yake Mkuu.