Alikuwa ToashiVp maisha yake ya kifamilia?
Ata mm nilisikia alihasiwa.Kumekuwa na habari nyingi mtaani kuwa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Malawi Dokta Hasting Kamuzu Banda alihasiwa ili aweze kuwa Daktari wa Malikia Elizabeth wa II? Je fununu hizi zina ukweli kiasi gani?
Pia kuna habari nyingine zinadai huyu jamaa hakuwahi kupata mtoto enzi za Maisha yake Duniani, je nayo ni kweli?
Wabobezi wa Historia na Intelijensia njooni mtuweke sawa. Karibuni
Kamuzu Banda alizaliwa karibu na Kasungu, Malawi iliyokuwa wakati ule sehemu ya eneo lindwa la Afrika ya Kati ya Kiingereza (baadaye Nyasaland). Wazazi walikuwa Mphonongo Banda na Akupingamnyama Phiri. Tarehe ya kuzaliwa haijulikani ilhali wakati ule hakukuwa na utaratibu wa kuandikisha watu. Alikubali baadaye matokeo ya utafiti wa rafiki kutoka Marekani aliyekadiria ya kwamba alizaliwa mnamo Machi au Aprili 1898.Kumekuwa na habari nyingi mtaani kuwa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Malawi Dokta Hasting Kamuzu Banda alihasiwa ili aweze kuwa Daktari wa Malikia Elizabeth wa II? Je fununu hizi zina ukweli kiasi gani?
Pia kuna habari nyingine zinadai huyu jamaa hakuwahi kupata mtoto enzi za Maisha yake Duniani, je nayo ni kweli?
Wabobezi wa Historia na Intelijensia njooni mtuweke sawa. Karibuni
Kwa nini ndugu?hata ningekuwa mimi mmalawi akipita mbele yangu lazima nimuhasi tu. walimkomesha.
Kwahyo kama walimkata mirija lengo lao lilikuwa nn?Utamu kama kawaida ila mirija ya mbegu hukatwa.
Kabisa ndo wenye jibu tuwasubilie waje hapaHapa labda ukawaulize vibibi walio lala naye kama wapo hai
Lengo asije akamtaman malkia akamla mzigo malkia akazaa mtoto ambae atahamisha ufalme kwenda ukoo mwingine
Yaani unaamini daktari mwafrica amtibu malkia kwa wakati huo? practically impossible!Kumekuwa na habari nyingi mtaani kuwa aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Malawi Dokta Hasting Kamuzu Banda alihasiwa ili aweze kuwa Daktari wa Malikia Elizabeth wa II? Je fununu hizi zina ukweli kiasi gani?
Pia kuna habari nyingine zinadai huyu jamaa hakuwahi kupata mtoto enzi za Maisha yake Duniani, je nayo ni kweli?
Wabobezi wa Historia na Intelijensia njooni mtuweke sawa. Karibuni