Dkt. Hassan Abbas usipambane na Kikwete siyo saizi yako. Acha kupotosha umma kwa njaa zako

Kubali au kataa, Kikwete hakumtendea haki Magufuli!!!! Unafiki wa Kikwete utaleta matatizo mbeleni. Hayo alitakiwa kumweleza wakiwa chemba si mbele ya kadamnasi. Rules za uongozi zinakataza vitu kama hivyo na uliona JPM alivyolowa.

JK alikuwa hamsemi Magu bali alikuwa anatambua kazi nzito aiyoifanya Mkapa.

Sasa kama kutambua mchango wa BWM kunasababisha kufuta propaganda na upotoshaji, so be it!
 
Huwa ni nyodo na majigambo ya kutaka sifa tu mkuu

Kabakisha miaka mitano tu(kwanza sijui kama atashinda) , tuone kama anaweza kuvaa viatu vya BWM au JK.

Uongozi ni zaidi ya ukali na kutumbua, na kuongea kwa hisia kali

BWM hakuwa mtu wa maujiko ujiko lakini mambo aliyofanya nchi hii ni mazito!. Mifumo mingi nchini ina alama zake!
 
Huyu Dr Abbas ni takataka kabisa. Wala msipoteze muda wa kujibishana nae.

Hivi unaanze kujibishana na Jakaya Mrisho Kikwete??? Rais mstaafu aliyeishika nchi na kuiendesha kwa miaka 10???? Wewe nani na una nini cha kumshinda kikwete hadi umjibu????

Ndugu zangu, huyu Dr Abbas tumpuuze kama wapuuzi wengine tu!

Msemaji wa serikali apuuzwe kirahisirahisi tu? halafu hii mitandao haifai kabisa
 
Back
Top Bottom