Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

Ahsante Sana, naomba tu Kila anayeoona uongo uongo fulani kwenye Kila link basi tupeane ushirikiano. Maana naweza nikawa kuna link inaendelea mahali na mimi sijaiona na watu wanapotea.
Nakupa maua yako waziri wangu, tuendelee kuelimisha jamii yetu kwa maendeleo ya Taifa letu kwa kukemea matendo maovu yasiyokubalika ndani ya jamii.

Kongole kwako, kazi nzuri Dkt Gwajima D
 
Hakika ,maana Kuna matukio yanafanyika hadi unabakia kujiuliza na kushangaa
Tatizo ni kuwa wananchi wengi ndio wanapenda kuyasikia hayo!! Na kuyaamini, mfano kwa sasa kuna mhubiri mmoja yupo buza anajiita kiboko ya wachawi, mtu anapiga simu(aliowapanga) anaambiwa hadi rangi ya chupi aliyovaa, anakubali ni kweli baba!! Ili kuwaaminisha wengine na ndio habari ya mjini sasa
 
Imani za kidini nazo ni shida sana
 
Hongera waziri Gwajima. Naomba mshirikiane na waziri mwenzio Nape kupitia maudhui yanapotosha jamii yanayorushwa kila siku na hizi online TV kwenye youtube. Yaani ukipitia hizo clip zinarushwa kila siku hata hiyo ya huyo dada wa nyoka ni cha mtoto.
 
Yale yale mtu akivaa kanzu mnasema kavaa kiuslamu. Hayo si mavazi ya Kiislamu.
Ndugu zangu, tusijadili Imani wala Dini. Huyu hajavunja sheria Sababu ya Dini, ni yeye tu kavunja tu kwa kutoelewa au makusudi tu na tabia zake. Kama ni mavazi kama hayo hata mimi navaa mbona. Tuendelee na hoja za kukomesha tabia mbaya kwenye jamii yetu. Haya ya Imani tusiyahusishe kabisa kwani, watenda mabaya mbona wapo kila tabaka la kijamii? Tukwepe mijadala ya mwelekeo wa kiimani kwenye kujadili hoja za msingi za maendeleo na ustawi wa jamii. Shukrani
 
Ni bora kukawa na sheria kali dhidi ya wakora na wapotoshaji wa aina hii. TCRA isiache kuzishughulikia hizi online TV za kipuuzi zinazochipuka kila siku. Hongera kwa kazi nzuri, ila ni lazima sekta nyingine zikusaidie katika juhudi zako.
 
Back
Top Bottom