Dkt. Dorothy Gwajima ahoji kipindi cha Pipytida

Dkt. Dorothy Gwajima ahoji kipindi cha Pipytida

Miss Halima

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
307
Reaction score
680
Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsi, wazee na watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewauliza Watanzania kuhusu maudhui yanayofanywa live na #Pipytida katika mtandao wa Tiktok kama yanakidhi maadili.
Ameuliza hivi..

"Hivi huyu binti wa 7 kwenye picha hapo juu anaendesha kipindi gani eti huko tiktok?

1787311949773.png


1787311857544.png
 
Sema mimi najiuliza sana hivi serious dunia ya sasa inavyokwenda kasi umpangie mtu nafikiri kuna muda viongozi wabadilike kifikra
 
🙂🙂 Huyu Bint anakata uno, huko Tiktok hadi kajenga kibanda, nimeona akilalamika akiomba msaada kwa Wazir Gwajima arudishiwe simu yake baada Polisi wa Osteybay kuichukua na kuishikilia....Lakini bint anaonekana fundi.
😳
 
Back
Top Bottom