pipytida

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Malu, pipytida, Dudu baya, Gigy money, Anko T, Noel na Mwijaku waitwa central station

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam. Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi awaita Dudubaya, Pipytida kwenye Kikao Maalum

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobass Katambi ametoa wito maalum kwa baadhi ya Wasanii na watu maarufu mitandaoni kwa kikao maalum ambapo amesema ajenda atakazojadili nao ni za kiserikali na zitajulikana kesho. Kuptiia taarifa aliyotoa leo Septemba 1, 2026 Katambi amewataja wasanii...
  3. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania TikTok live (Dukuduku) ya Pipy Tida chazidi kupamba moto na kuibua maswali juu ya ulinzi wa taarifa binafsi

    Kipindi cha Dukuduku kinachoendeshwa kupitia TikTok na mtayarishaji wa maudhui Pipy Tida kimeendelea kuvuta hisia za watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na namna kinavyogusa maisha ya kawaida na masuala yanayowakabili watu katika jamii. Kupitia kipindi hicho, Pipy Tida huibua mada...
  4. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima ahoji kipindi cha Pipytida

    Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsi, wazee na watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amewauliza Watanzania kuhusu maudhui yanayofanywa live na...
Back
Top Bottom