Dkt. Diallo: Sisi Mwanza ndio Wasukuma original na Rais Samia ni Chifu wetu, hao wanaoitwa Sukuma Gang hatuwatambui

Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?
Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
Mama hajakimbilia ila wenye kabila lao wamempa wenyewe u-chief. Makabila mengine wakipendezwa pia hawajakatazwa.
 
Naona Diallo kajibu swali kisiasa na si kiuhalisia.
Dialo tuna mfahamu kwa kuwa ni straight talker, na si wengine tunamfahamu tok akiwa kijana.

Kwanza lazima Dialo akubali kueleza kuwa Magufuli hakuwa msukuma, ni mtu aliyelowea toka Burundi huko , na ana historia ya ukimbizi.
Pili, Ili kupata backing ya kisiasa, Magufuli amewatumia sana wasukuma na jina la wasukuma ili aptae mizizi ya kisiasa.
Hilo halina ubishi.

Tatu, Sukuma gang si lazima mtu awe msukuma.
Sukuma Gang ni wale wafuasi wa karibu wa Magufuli, wengine abao wala si wasukuma kama kina kalemani, Doto n.k.
Sukuma ganag is a political coinage ya wafuasi wa Magufuli, wengi wao wanaotoka kanda ya ziwa.

Lkini Mbaya zaidi Sukuma Gang vile vile ni kielelezo cha UKABILA ambao Magufuli alifanikiwa kuujenga, kwa kuteua watu waliokaribu naye na wa kwao.
Unapenda chuki weweee khaaaaà
 
Akija mgeni anaweza kudhani tumeshamaliza matatizo yetu yote..., ndio maana tunajikita kwenye issue nonsensical na petty...
Bora hawa kuliko wanojadili issue za Diamond,harmonize, kajala, Amber Rutty n.k
 
Huo uchief una faida gani kwanza!?
Waulize waliompa, binafsi nachojua Mama kapewa heshima ya uchifu wa Wasukuma na kama kiongozi wa nchi na mwanasiasa asingeweza kukataa, hiyo ni karata muhimu kuelekea 2025.
 
Huyu atajibiwa na Msukuma alafu mzimu wa Magufuli utamaliza kazi...

Sio rahisi nchi Rais anafariki alafu nchi inakuwa Salama, tungeishangaza Dunia... Now vita ndio inaanza Rasmi...
 
Ukiacha Sukuma gang makundi mengine ya CCM ni yapi?

Alafu kwanini mama amekimbilia mapema kuwa Chief Hangaya wa wasukuma akaacha kuwa Chief kwenye makabila mengine?
... hakuomba; alipewa! Swali, kwanini usukumani waliwahi kumpa uchifu kuliko makabila mengine?
 
Chifu Hangaya ana bahati siku ile aliyokuwa anapewa uchifu fake wasukuma Orginal hawakuwepo vinginevyo ya Kikwete yangemkuta.
 
Naona Diallo kajibu swali kisiasa na si kiuhalisia.
Dialo tuna mfahamu kwa kuwa ni straight talker, na si wengine tunamfahamu tok akiwa kijana.

Kwanza lazima Dialo akubali kueleza kuwa Magufuli hakuwa msukuma, ni mtu aliyelowea toka Burundi huko , na ana historia ya ukimbizi.
Pili, Ili kupata backing ya kisiasa, Magufuli amewatumia sana wasukuma na jina la wasukuma ili aptae mizizi ya kisiasa.
Hilo halina ubishi.

Tatu, Sukuma gang si lazima mtu awe msukuma.
Sukuma Gang ni wale wafuasi wa karibu wa Magufuli, wengine abao wala si wasukuma kama kina kalemani, Doto n.k.
Sukuma ganag is a political coinage ya wafuasi wa Magufuli, wengi wao wanaotoka kanda ya ziwa.

Lkini Mbaya zaidi Sukuma Gang vile vile ni kielelezo cha UKABILA ambao Magufuli alifanikiwa kuujenga, kwa kuteua watu waliokaribu naye na wa kwao.
Yeye Diallo hajatokea Senegali kweli?
 
Bora hawa kuliko wanojadili issue za Diamond,harmonize, kajala, Amber Rutty n.k
Hayo mazungumzo pia yana wakati wake na watu baada ya mihangaiko ya siku wanahitaji ku-refresh basi sio vibaya kupoza akili kwa vitu laini laini...., hila sio hawa wenye nafasi au waliokuwa na nafasi kubwa ya kupanga na kutengeneza policy za nchi..., sitegemei nchi yenye matatizo ya kutosha wajikite kwenye vitu laini laini..., hivyo wangevihifadhi mpaka hapo baadae (watuachie sisi kitaa baada ya kumaliza kazi zetu za kulipa tozo/kodi) - tumeshatimiza wajibu wetu, wao ndio wanatuangusha....
 
Back
Top Bottom