Dkt. Constansia Burreta: Mwanamke wa nne Tanzania mtaalamu wa upasuaji wa ubongo, mishipa ya fahamu na mgongo

Hongera kwake! But imagine ndo unatatizo la kupasuliwa ubongo au uti wa mgongo... utakubali kupasuliwa na madaktari wetu wa hapa bongo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann mkuu? Hao ni madaktari professionnelle kabisa hadi ukabidhiwe cheti ujue wamechujwa
Kuna Darasa la hiyo fani ktk chuo fulani hapa ujerumani walianza watu 40 wakahitimu 3 tu,ni fani ngumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye fani hii duniani Dr Carlson atabaki kuwa hana mpinzani kwa muda mrefu kwa upasuaji wenye mafanikio ya ubongo. Huyu jamaa alikuwa wa kipekee
 
Hakuna uhusiano wa professionalism na Ukabila
Wapo waliohitimu hiyo fani wala sio Wachaga
Sisi tunaongelea hao wanawake madaktari wachache waliotajwa kwenye huu Uzi. Na kwa taarifa tu ni kwamba wanatokea Kaskazini Ile kanda pendwa na ........Kaskazini mikoa yake unajulikana ila hao wanatokea mikoa miwili Ile inayopendwa zaidi na ...... hahahahaaa. Huwa mikoa miwili hii huongoza kitaifa kitaaluma pia na usafi. Makofi pwapwapwapwapwa shemeji zangu. Tunawapongeza pia hao madokta wengine wachache wa rare proffession.
 
Pamoja Sana shem

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom