Dkt. Biteko: Kule Bukombe tuliwahi kuchagua Wapinzani tunaelewa madhara yake, nawasihi wananchi wote chagueni CCM

Yuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
Sasa hakuna wapinzani bungeni Kuna Nini kinaendelea sasa
 
Yuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
Ungesema viongozi bora wachaguliwe ungeonekana wa maana ila kwasasa hauna utofauti na huyo Doto...huko Bukombe walipowachagua viongozi kutokana na u-chama ndo shida imeongezeka
 
Yuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
Nakumbuka wakati wa mzee Ndesamburo akiwa mbunge wa Moshi mjini alitaka wanafunzi wa jimbo hilo wapewe elimu bure, ccm walipinga kuwa jambo lile haliwezekani Hadi mkurugenzi akawa anavunja vikao. Ila baadae wakavamia ajenda hiyo na kujifanya ni Yao. Hapo ccm walikuwa wanaunga mkono Kila kitu?
 
Naibu Waziri mkuu Dr Biteko amesema uchaguzi wa serikali za mitaa uko Karibu hivyo Wananchi wajipange kufanya uamuzi wa busara wa kuichagua CCM

Dr Biteko amewashukuru Wananchi wa Mbogwe kwa kuichagua CCM miaka tote, " Kule Bukombe tuliwahi kuchagua Wapinzani tunaelewa madhara yake" amesisitiza Naibu Waziri mkuu

Source: Upendo TV
Mkuu uzuri ni kuwa hakuna tofauti yoyote ya maendeleo ya maana kati ya hayo majimbo kwa sababu yapo chama tawala!

Kwa sasa hivi CCM ina asilimia 99.9 ya majimbo yote Tanzania bara/Tanganyika, je kuna maendeleo ya maana?

Maana mwanzoni kipindi cha Mwendazake ilionekena upinzani ulichelewesha sana maendeleo, sasa upinzani haupo, je ccm imeharakisha hayo maendeleo???

Uongo mtupu!
 
Watatengwa kama Mbeya.Toka tumewaweka pembeni Wapinzani maendelea ya Mkoa Sasa ni kemkem.

Ni ujinga kuchagua Wapinzani ambao hawawezi kushika Dola then sijui watakuwa wanatekelezaje Ilani.
Ccm imejaa mapumbavu eti maendeleo kemkem , ni mpumbavu pekee anayeamin ccm inaleta maendeleo labda kama tozo, ufisadi, kukata umeme kutwa nzima,kuiba kura,ujangili, kukwepa kodi hapo sawa
 
Huyu biteko ana akili ndogo sana na hiyo Dr. Ni ya Kununua tu ukabila unambeba
 
Yuko sahihi kwa kiasi fulani. Tulikuwa na wabunge wa upinzani, ukafika wakati wakawa wanapinga kila kitu, mpaka miradi ya maendeleo kwenye majimbo yao wenyewe; eti kazi ya upinzani ni kupinga! Upuuzi mtupu.
Hiii nchi bado ina ujinga mkubwa sana kuanzia kwa viongozi hadi wanachi wake , ikiwa kodi unakusanya kwa wananchi wote kwanini linapo kuja swala la maendeleo wale wenye viongozi wa upinzani wanaadhibiwa kwa kuto pelekewa maendele utadhani sio walipa kodi?

Kuna barabara ya mtaa bunda waligoma hata kuleta greda kisa diwani ni wa upinzani, hovyo kabisa hawa watu na IQ zao ndogo, upinzani ubaki kwenye sera tuu linapo kuja swala la maendeleo kuwe na mgawanyo sawa kabisa
 
Naibu Waziri mkuu Dr Biteko amesema uchaguzi wa serikali za mitaa uko Karibu hivyo Wananchi wajipange kufanya uamuzi wa busara wa kuichagua CCM

Dr Biteko amewashukuru Wananchi wa Mbogwe kwa kuichagua CCM miaka yote, "Kule Bukombe tuliwahi kuchagua Wapinzani tunaelewa madhara yake" amesisitiza Naibu Waziri mkuu

Chanzo: Upendo TV
Biteko huyu huyu aliyebebwa na Ndugu yake wa Damu Magufuli ? ama kweli Dunia kituko !
 
Back
Top Bottom