Dkt. Benson Bana akili kubwa ya darasani

Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm

Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha

Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo

Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle

Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana

Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama

Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty

Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani

Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwaView attachment 1219444View attachment 1219445
Wewe unayo ya ngapi?
 
Zimelisaidia nini taifa?tumeona prof huko UN akiongea utumbu tupu kama vilaza wa lumumba
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm

Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha

Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo

Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle

Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana

Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama

Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty

Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani

Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwaView attachment 1219444View attachment 1219445
 
Usi generalize hivyo. Political science huwezi kufananisha na Uchumi, Engineering, Medicine, Pharmacy
Angepata 4.9 CoET, MUHAS Hapo ndo tungeelewa.
Masomo mnafanya discussion kama vile mnasikiliza Hadithi za Mama na Mwana!!

Mimi nilifikiri hiyo GPA ya 4.9 ni ya kwenye fani za Nuclear Physics, Genetic engineering, Aircraft Manufacturing, etc, kumbe ni ya Political science!!! Hovyo kabisa.
 
Poor mentality
Nani alisema kuna Engineer Coet
Udsm hakuna engineering ni uchafu tu

Hakuna vifaa vyovyote Coet

Walimu wa enzi za Karl Peters watafundisha nini kwenye coding Leo
Kajaribu kusoma Uone.
Ukweli utabaki kuwa ukweli!
 
Ukitaka kujua masomo ya Arts ni mepesi sana Fuatilia Article imo humu jamii forum ya Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Ally Hapi
Yeye F4 Alitoka Ufundi akaamua kufanya HKL Advanced!! ( kumbuka Technical school huwa hawasomi History kabisa O-Level) lakini akaja kupiga One ya 4 points F6!!!
Kuna kitu hapo???
 
Hivi ni vichekesho Sana hivi wewe complex number zinakusaidia nini?

Hivi zile hesabu za integration by parts zina msaada gani?

Tanzania ni nchi ya vituko mwalimu wa mechanics hata kutengeneza kibatari hajui
Mimi nilifikiri hiyo GPA ya 4.9 ni ya kwenye fani za Nuclear Physics, Genetic engineering, Aircraft Manufacturing, etc, kumbe ni ya Political science!!! Hovyo kabisa.
 
Hivi ni vichekesho Sana hivi wewe complex number zinakusaidia nini?

Hivi zile hesabu za integration by parts zina msaada gani?

Tanzania ni nchi ya vituko mwalimu wa mechanics hata kutengeneza kibatari hajui

Zimenisaidia sana, tena sana tu.Hazijanisaidia Mimi pekee, Bali na Watu wengine wengi waliopo hapa duniani kupitia kwangu
 
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm

Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha

Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo

Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle

Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana

Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama

Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty

Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani

Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwaView attachment 1219444View attachment 1219445

Akili ya darasani si akili ya general knowledge,ni uwezo wako binafsi wa kukariri eneo utakalo iwe hisabati,kemia,sayansi nk hata wewe ukitaka kukariri ( kuconcetrate ) eneo utakalo unaweza.
 
Hivi ni vichekesho Sana hivi wewe complex number zinakusaidia nini?

Hivi zile hesabu za integration by parts zina msaada gani?

Tanzania ni nchi ya vituko mwalimu wa mechanics hata kutengeneza kibatari hajui

Hazina msaada wowote ktk Maisha labda za magazijuto ndizo twatumia kila siku
 
Umenikumbusha! Nina jamaa yng alisoma F5 Tosamaganga PCM afu F6 akaenda Tambaza HGL baada ya kuumwa sana Iringa! NECTA matokeo ya F6 akatia DIV I Points 9
Ukitaka kujua masomo ya Arts ni mepesi sana Fuatilia Article imo humu jamii forum ya Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Ally Hapi
Yeye F4 Alitoka Ufundi akaamua kufanya HKL Advanced!! ( kumbuka Technical school huwa hawasomi History kabisa O-Level) lakini akaja kupiga One ya 4 points F6!!!
Kuna kitu hapo???
 
Ukitaka kujua masomo ya Arts ni mepesi sana Fuatilia Article imo humu jamii forum ya Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Ally Hapi
Yeye F4 Alitoka Ufundi akaamua kufanya HKL Advanced!! ( kumbuka Technical school huwa hawasomi History kabisa O-Level) lakini akaja kupiga One ya 4 points F6!!!
Kuna kitu hapo???

Kufaulu au kufail pepa pana factor nyingi Sana mtihan si kipimo kamili cha kupima akili ya mtu.Tuna watu wanna phd lkn wanareasoning capacity ya hovyo ya chini kuliko hata standard 7 failure
 
Tuwe wakweli tu jamani mtajwa hapa sio intelligent kiviile.... naishia hapa.

Hata hivyo namshukuru kwa mchango wake kwa taifa pamoja na kujituma kwake... is really a hardworking man
 
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm

Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty

Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani

Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwa
Sina hakika ikiwa lengo lako ni kuelezea kichwa cha Benison Bwana kilivyojaa akili (which I doubt) au cha kwako kilivyo kitupu (sure thing). Haya ni matokeo ya mfumo wetu wa elimu wenye kuthamini kipande cha karatasi kuliko kitu kilichohifadhiwa kichwani kwa mhitimu.

Waafrika ndio tuna akili za ajabu za kuhusudu matokeo ya mtihani huku matokeo ya maisha yakiwa mabovu. Leo hii, certificate holder wa IT huko India anatarajiwa kufanya makubwa zaidi ya degree holder wa Tanzania, lkn wapo watu bado wanaabudu makaratasi.

Hata wewe binafsi unajua jinsi huyo iconic model wako alivyo mwepesi na ndio maana umeanza na MNYONGE MNYONGENI na kumaliza na POVU RUKSA kama defensive mechanism.
 
Diamond platinum hana elimu ya degree lakini kaajiri watanzania wengi kuliko Benson ,vile vile Benson kwa elimu yake ya juu kasababisha vijana wengi kuajiriwa sehemu mbali mbali.

Nachotaka kusema hapa ni nini???
 
Sasa wewe pale udsm engineering umepaona palivyo, Hebu Jaribu kwenda madarasa yao yamegeuzwa madarasa ya watu wa Arts

Hakuna investment yeyote pale udsm kuanzia watu wa civil mpaka course zote za engineering

Hakuna Practical ya maana udsm kwa engineering

Majitu mazima bado yanafundishwa

Calculate Electomotive force au EMF
Kama science ndio hiyo better hayo majengo waanze kufugia vyura wa kihansi

Bana yupo vizuri darasani
Sina hakika ikiwa lengo lako ni kuelezea kichwa cha Benison Bwana kilivyojaa akili (which I doubt) au cha kwako kilivyo kitupu (sure thing). Haya ni matokeo ya mfumo wetu wa elimu wenye kuthamini kipande cha karatasi kuliko kitu kilichohifadhiwa kichwani kwa mhitimu.

Waafrika ndio tuna akili za ajabu za kuhusudu matokeo ya mtihani huku matokeo ya maisha yakiwa mabovu. Leo hii, certificate holder wa IT huko India anatarajiwa kufanya makubwa zaidi ya degree holder wa Tanzania, lkn wapo watu bado wanaabudu makaratasi.

Hata wewe binafsi unajua jinsi huyo iconic model wako alivyo mwepesi na ndio maana umeanza na MNYONGE MNYONGENI na kumaliza na POVU RUKSA kama defensive mechanism.
 
Sasa GPA ya political science nayo ni GPA. Hamna calculation hata moja Ni ngwini tu. Hata Mimi ningepata GPA ya 5 zote

Hahaha. Nimemkumbuka jamaa mmoja wa political science alikuwa akisema kwenye course yake namba anayoandika ni tarehe tu....!
 
Usi generalize hivyo. Political science huwezi kufananisha na Uchumi, Engineering, Medicine, Pharmacy
Angepata 4.9 CoET, MUHAS Hapo ndo tungeelewa.
Masomo mnafanya discussion kama vile mnasikiliza Hadithi za Mama na Mwana!!
si ndo hapo mzee baba mimi economics sitoisahau
 
Back
Top Bottom