Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 11,620
- 8,557
[QUOTE="Mmawia, post: 32984178, member: 165175"
Kama masuala ya kiakademia uko nayo mbali huwezi kujua mchango wake.
Kama masuala ya kiakademia uko nayo mbali huwezi kujua mchango wake.
Ausee....Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm
Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha
Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo
Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle
Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana
Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama
Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty
Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani
Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwaView attachment 1219444View attachment 1219445
Usipoheshimu taaluma ya wenzako, unajinyima uhalali wa taaluma yako kuheshimiwa.Usi generalize hivyo. Political science huwezi kufananisha na Uchumi, Engineering, Medicine, Pharmacy
Angepata 4.9 CoET, MUHAS Hapo ndo tungeelewa.
Masomo mnafanya discussion kama vile mnasikiliza Hadithi za Mama na Mwana!!
DS ni subsidiary subject kwa wanachuo wote lakini wapo ambao wanaamua kuichukua DS kama major subject.Hicho sio kigezo mbona Wengine hawakupata GPA ya 4.9 hiyo development studies
Hapo udsm hakuna degree ya DS ila kuna Institute of development studies
Sasa DS ni subsidiary kwa kila first year hapo udsm wewe vipi?
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm
Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha
Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo
Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle
Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana
Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama
Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty
Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani
Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwaView attachment 1219444View attachment 1219445
Naona Wadau wameshasahau michango yake ya maoni anayotoa mara kwa mara, linapotokea tukio fulani.Ni kutudharau watanzania ukisema Dk Bana ni akili kubwa.Ile ni akili kisoda kabisa.Kwa sababu ya maoni mbalimbali anayochangia huwezi dhania hata ana bachelor.Bado sana ukilinganisha na Mabala, shivji,salim Ahmed na hata kikwete ana akili kubwa kuliko huyu mwalimu wake