Dkt. Benson Bana akili kubwa ya darasani

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm

Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha

Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo

Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle

Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana

Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama

Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty

Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani

Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwa
IMG_20190930_081115.jpeg
IMG_20190930_081054.jpeg
 
Kiongozi Maendeleo huanzia kwenye personal level hapa ni familia yako binafsi, Ukoo wako maskini unataka unikomboe mimi ambaye familia yangu na watoto wako vizuri

Achana na national level hizo tunawaachia wanasiasa na tarumbeta zao

Bana yeye amefanya tafiti zake na Prof Mkandala zipo pale Redet nenda kasome uzifanyie kazi na zingine zipo library hujakatazwa
Zimelisaidia nini taifa?
 
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm

Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha

Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo

Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle

Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana

Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama

Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty

Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani

Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwaView attachment 1219444View attachment 1219445
Ook kumbe ni akili kubwa ya darasani, sawa tumeelewa, sisi tunataka mwenye akili kubwa ya kusaidia watanzania
 
Kelele, usichojua ni kuaa kila mtu anaishi kwenye lane yake kama yake ilipita kwenye hayo masomo haina haja ya kuchanganya na wengine
 
Tafiti za kuisifia ccm lkn Twaweza walipofanya tafiti za kuikosoa ccm wakaambiwa MD wao siyo mtanzania
Kiongozi Maendeleo huanzia kwenye personal level hapa ni familia yako binafsi, Ukoo wako maskini unataka unikomboe mimi ambaye familia yangu na watoto wako vizuri

Achana na national level hizo tunawaachia wanasiasa na tarumbeta zao

Bana yeye amefanya tafiti zake na Prof Mkandala zipo pale Redet nenda kasome uzifanyie kazi na zingine zipo library hujakatazwa
 
Kiongozi Maendeleo huanzia kwenye personal level hapa ni familia yako binafsi, Ukoo wako maskini unataka unikomboe mimi ambaye familia yangu na watoto wako vizuri

Achana na national level hizo tunawaachia wanasiasa na tarumbeta zao

Bana yeye amefanya tafiti zake na Prof Mkandala zipo pale Redet nenda kasome uzifanyie kazi na zingine zipo library hujakatazwa
Naona unabembeleza nafasi ya kazi huko ubalozini atakapo pelekwa
 
Ww ndo Dr bana?elimu ya chuo kikuu?tokea sister duu mmoja tulikuwa tunasoma nae hakufanya UE lakini matokeo yake yakawepo with big marks..nimeidharau sana elimu hii..yaani maprof wamepewa madaraka makubwa sana. .so bado huwezi kumsifia kihivyo kama unafahamu mfumo wa vyuo vyetu
 
Ni kutudharau watanzania ukisema Dk Bana ni akili kubwa.Ile ni akili kisoda kabisa.Kwa sababu ya maoni mbalimbali anayochangia huwezi dhania hata ana bachelor.Bado sana ukilinganisha na Mabala, shivji,salim Ahmed na hata kikwete ana akili kubwa kuliko huyu mwalimu wake
 
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm

Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha

Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo

Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle

Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana

Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama

Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty

Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani

Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwaView attachment 1219444View attachment 1219445
Sasa GPA ya political science nayo ni GPA. Hamna calculation hata moja Ni ngwini tu. Hata Mimi ningepata GPA ya 5 zote
 
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm

Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha

Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo

Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle

Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana

Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama

Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty

Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani

Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwaView attachment 1219444View attachment 1219445
We mwenyewe mzigo kwa taifa.
GPA ya Dr Bana imesaidia nini nchi?

Unaonekana unawasujudia sana waingereza, unaona kujua kiingereza kama nafasi ya kutatua changamoto zinazomkabili mwafrika?
 
Usi generalize hivyo. Political science huwezi kufananisha na Uchumi, Engineering, Medicine, Pharmacy
Angepata 4.9 CoET, MUHAS Hapo ndo tungeelewa.
Masomo mnafanya discussion kama vile mnasikiliza Hadithi za Mama na Mwana!!

Hahahahaaaaaaaaa JF kuna mambo
 
Wakuu, Mnyonge mnyongeni lakini ukweli utaishi daima
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi Leo tarehe 30/09/2019, Dtk Bana ana GPA 4.9 ya undergraduate degree na GPA ya 5 masters zote pale Udsm

Miaka hiyo kwenda chuo kikuu ilikuwa shughuli pevu na kufeli ilikuwa sehemu ya maisha

Vijana wa dot com wanasoma kwa muundo wa semester bado wana GPA za hovyo hovyo

Enzi za akina Bana mitihani mkuu ni mwisho wa mwaka ilikuwa ni only the Fittest survive in the Jungle

Hongera Dkt Bana wewe ni kichwa sana

Vijana wengi hapa Jf wamesoma muundo wa semester lakini GPA zao ni za zimamoto yaani hovyo kabisa hata kuzitazama

Leo hii vijana wanafundishwa chuo kikuu jinsi ya kuunganisha sentensi za Kiingereza kwani kichwani ni empty

Hata kama maoni yake huwachoma baadhi ya wafia vyama yaani ccm na Chadema, Kwa watu ambao wapo kati hawaegemei kushoto au kulia Bana ni kichwa kubwa darasani

Povu la sabuni ya kipande aina ya Jamaa linaruhusiwaView attachment 1219444View attachment 1219445
Ndugu yangu umeandika upuuzi.

Nilisoma na Bana. Yeye alijiunga na UDSM akitokea kazini. Alikuja akiwa mtu mzima kutuzidi wengine.

Alitaka kusoma science lakini term ya kwanza alifail vibaya.

Wakati ule hakuna somo ambalo wanaosoma Science, Engineering na Geology kama somo la DS. Bana baada ya kuona hana uwezo wa kufanya vizuri kwenye masomo ya science akaamua kuchukua DS kama ndiyo major subject wakati sisi wengine tulisoma DS kama subsidiary.

He was not among people who could command respect because of good performance.

Somo la DS hakuna mtu ambaye alikuwa anafail. Alichukua somo hilo kwa sababu ndiyo pekee ambalo lilimhakimishia kupata degree.
 
Bana binafsi kanifundisha,anafundisha kwa msisitizo na chaki kabisa,jamaa yupo vizuri kufikisha kwa mwanafunzi,kama kuna mtu alikuwa hamuelewi Dr huyu darasani ningumu kumuelewa mtu mwingine.
 
Poor mentality
Nani alisema kuna Engineer Coet
Udsm hakuna engineering ni uchafu tu

Hakuna vifaa vyovyote Coet

Walimu wa enzi za Karl Peters watafundisha nini kwenye coding Leo
Usi generalize hivyo. Political science huwezi kufananisha na Uchumi, Engineering, Medicine, Pharmacy
Angepata 4.9 CoET, MUHAS Hapo ndo tungeelewa.
Masomo mnafanya discussion kama vile mnasikiliza Hadithi za Mama na Mwana!!
 
Hicho sio kigezo mbona Wengine hawakupata GPA ya 4.9 hiyo development studies

Hapo udsm hakuna degree ya DS ila kuna Institute of development studies

Sasa DS ni subsidiary kwa kila first year hapo udsm wewe vipi?

Back
Top Bottom