Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Haiwezekani PM hawezi kutoka viti maalum/vya kuteuliwa
Labda aroge Mbunge wa kwenye Jimbo lake afe kisha akagombee yeye vinginevyo aishi kwa matumaini tu kuwa Ile special audit report ya BOT ije msafishe. Pale alipo haja ndefu inagonga kyupi na kurudi ndani.
 
Labda aroge Mbunge wa kwenye Jimbo lake afe kisha akagombee yeye vinginevyo aishi kwa matumaini tu kuwa Ile special audit report ya BOT ije msafishe. Pale alipo haja ndefu inagonga kyupi na kurudi ndani.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2960][emoji2960]
 
Kaishaiba hela ya kumtosha maishani
 
Watu washamba awafai kupewa madaraka.Huu msemo una maana kubwa.Unakuta mtu analewa na koti la kuazima.
 
Alikuwa anajichulia kifo
Alikuwa anasaini cheki ya kifo chake maana kila marehemu husimulia juu ya kifo chake kabla ya kufa mm binafsi nilipoona simulizi za kuhusu kifo zimekuwa nyingi pale kanisani nilianza maandalizi ya sherehe ya maombolezo😅😅😅😅😅
 
Wapinzani wa nchi hii hamna akili kabisa ni ulofa kushangilia Mtu Kama Balozi Bashiru ambaye mbunge kuondolewa kwenye nafasi KMK
Balozi Bashiru ni mwana CCM aliyemuondoa pale ni mwana CCM
Kwanza kwa nafasi aliyonayo mpk sasa bado si ya kubeza
Pili Bashiru ni mwanasiasa amekuwa katibu wa chama chao hujui legacy aliyotengeneza

Hawa Cha dema mmejaa chuki mno hataaminika katika nchi hii

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hii nayo pia ni reply kwa mtazamo mwingine... Asante kwa kuchangia mada
 
Ila kama kumekuwa na compelling reasons za kumuondoa na kumpeleka to another Governance branch ni sawa.

Lakini kama ni 5 years contract kama CS , kama taifa tutaingia gharama kubwa kuinunua contract yake.

Na pili amekuwa katika center of Party and Government activities, all Government and Party was for sometimes oscillating around him huoni anaweza kuwa mwiba mkali ladba kama alikuwa kilaza wa Kupitiliza kushindwa kupitia mafaili ya, National Security Council minutes, Cabinet meeting minutes, Government implementation committee meeting minutes, Public Service top echelon files na maamuzi mazito ya serikali. Ndio maana Urusi, wanakupoteza tuu, mna malizana.
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…