Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Lakini hadhi yake imeshuka vibaya sana. Pesa sio heshima.
True.
Money is nothing important.
Money does not care who owns it.
A fool can win it in a lottery,
A bum can inherit it.
It is power which matters.
Sasa hivi jamaa Ni Kama Mzee Halima tu sema mzee Halima ana jinsia ya kike kimaumbile
 
Maneno ya wanafiki sasa👇
Bashiru Ally Uliuanza mwendo wa Siasa kwa kuwa mchambuzi mahili, mwenye Maono ya nchi yako, hakika hakusita Rais wa awamu ya Tano Baba yetu Hayati Dkt MAGUFULI kukuteua kufanya tathmini na ukaguzi wa mali za Chama CCM, ulifanya kwa uadilifu mkubwa na uaminifu.
Kazi ulipiga
 
Posho za ubunge unazijua?
 
Weka posho zao hapa tuone.
Na usisahau katibu mkuu KIONGOZI sio KAZI ya kudumu.
Acha bange wewe, unaifahamu posho ya KMK? "Supika" mwenyewe alikiri jamaa alipoteana baada ya maamuzi yale ya Mama Samia, wewe ni nani upinge?
 
Kinachonishangazi mbona watu wamefurahi sana.....kwani aliwakosea nini mpaka watu wafurahie kuporomoka kwake
 
Nazidi kujifunza, siku zote huwa nayaheshimu sana maisha huyu mtu na kundi lake walijisahau sana na kujiona miungu watu,
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nimekuelewa Mshana
Hatuko kwenye mawazo bali kauli

Mara ngapi tunajisemea ama tunasema mema makubwa kwenye mazungumzo yetu hadharani na hayawi?.

Naona ni coincidences tu
 
Swadaktaaa
 
Atarudi kwenye ukatibu mkuu sisiemu lakini alipaswa awe demoted kabisa kabisa arudi udsm kumark course work za wanafunzi
Kutoka kuwa KMK hadi kuwa mbunge wa viti maalum kama akina Mzee Mdee ni demotion kubwa saaaana,yaani hapo anazidiwa hata na Kibajaji kwani yupo pale kwa hisani ya mtu mmoja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…