Kiukweli huyu jamaa kwa sasa anahitaji msaada ya kisaikolojia. Yaani haiwezekani ndani ya Wiki 4 tu ametoka Masaki kwenye nyumba za Chama na magari pamoja na Walinzi wa Chama. Ghafla akaenda Ikulu kwenye Kiyoyozi, TISS, magari na kila aina ya starehe za kodi za wananchi ghafla anashuhuria kuapishwa kwa Makamu then anarud tena kule alikotoka.
Embu fikiria wale wote ambao alikuwa anawasagia kunguni na bahati nzuri yeye anawajua na wanamjua kwa kifup wanajuana atawaangaliaje? Sio hao tu, zile starehe ambazo amezipata tangu 2018 na zile wiki 4 jinsi anavyozikumbuka!
Bashiru, baada ya miaka hii mitano tutamsahau kabisa kwneye Siasa kwa sababu hatakuwa na uwezo wa kugombea kwenye jimbo na hatapewa chochote kile, ukweli mchungu.
Funzo: Tuishi vizuri na watu bila kujali hali za kimaisha, hatuijui kesho yetu.
Ukiangalia sura ya jamaa hata leo akitumbuliwa ukatibu uenezi hawezi shituka,. Ila bashiru ndio bado aamini kuwa amelamba galasa, ila dawa itamuingia kidogo kidogo...
Huyu mjamaa haelewi nchi inakopelekwa kwa sasa GPS navigation system inasema rudi nyuma njia tumeiacha, rudi, lakini dereva sijui ndio K vant anakanyaga mafuta mpaka Gps inakata mafuta yani haisomi tena!..