Blue to them is Red
Last but not least huyo Kubenea wa Mwanahalisi ni mwanachama wa chadema mnategemea atakuwa ana report mambo kama yalivyo?
Nadhani ukiibiwa kura, lazima una ujinga fulani hivi.Kama kila siku unaibiwa wewe tuna wasiwasi unaweza kuibiwa hata nchi ukiwa madarakani.
Tusipende kuomba huruma, kila tukishinda sawa tukishindwa tumeibiwa, tujipange ili na sisis tuwaibie kama kuiba ni ushindi. Viongozi wetu waache ubabaishaji, tukishindwa watuambie jinsi ya kujipanga.
Dah Ndugu Hii NimeipendaCCM kama ungekuwa ni mwanaume, ningekupiga chini siku ya kwanza.![]()