Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
Kimsingi itakuwa vigumu sana kwa Tv zetu kuonyesha video inayopingana na Taarifa ya Serikali, Labda wapeleke Tv za nje au za mashirika ya Dini
wauze hizo dvd au vcd... tutanunua... wapost kwenye internet nk.
Issues siyo video wala namna police walivyofanya kudhibiti uhuni wa Chadema uliokuwa kwenye cover la maandamano. Issue ni IQ ya viongozi wa Chadema kulazimisha maandamano ili hali wakijua hayo madhara kuwa yangetokea. Kwa sasa hatuhitaji kuona madhara kwenye CD. Ni upuuzi mtupu.
Tutahitaji kuona viongozi wa Chadema wanachuliwa hatua stahiki za kisheria kukomesha kundi lingine la namna hiyo lisije ibuka. Mbona vyama vingine viko peace na waelewa sana, iweje Chadema iwe chanzo cha kila aina ya uhuni sasa hivi?! Hatuwezi tukawa na genge la wahamasishaji fujo, tena wanahamasisha kwa watu ambao ni destitute kabisa, hawana mbele wala nyuma na kuelewa chochote kinachoendelea Duniani.
Nisichokubaliana na baadhi yenu humu ni hili la WATANZANIA kufa kwa malengo ya KISIASA kama ilivyotokea Arusha na kabla ya hapo Pemba. Hakuna kifo kinachokubalika lakini hili la vifo vya kisiasa halina TIJA wala maana yoyote kwa Mtanzania wa kawaida. Ni afadhali Mtanzania afe kwa kudai.... AJIRA, kulalamikia bei ya kilo ya unga, bei ya mkate, bei ya umeme, bei ya maji, karo kubwa za shule, huduma mbaya za elimu kwenye mashule ya UMMA na mambo yanayofanana na hayo.
Tusiendelee kuua watu wetu kwa malengo ya KISIASA ambayo hayawabadilishii lolote watu wetu. Wakati wa kampeni, Dr Slaa alisisitiza mara kwa mara juu ya kutomwaga damu ya Watanzania ili aende IKULU. Ni nini kinafanyika sasa?
Umakini wa Serikali upo wapi? Ni hatari kwa serikali kufanya uchakachuaji kwa kila jambo.
Issues siyo video wala namna police walivyofanya kudhibiti uhuni wa Chadema uliokuwa kwenye cover la maandamano. Issue ni IQ ya viongozi wa Chadema kulazimisha maandamano ili hali wakijua hayo madhara kuwa yangetokea. Kwa sasa hatuhitaji kuona madhara kwenye CD. Ni upuuzi mtupu. Tutahitaji kuona viongozi wa Chadema wanachuliwa hatua stahiki za kisheria kukomesha kundi lingine la namna hiyo lisije ibuka. Mbona vyama vingine viko peace na waelewa sana, iweje Chadema iwe chanzo cha kila aina ya uhuni sasa hivi?! Hatuwezi tukawa na genge la wahamasishaji fujo, tena wanahamasisha kwa watu ambao ni destitute kabisa, hawana mbele wala nyuma na kuelewa chochote kinachoendelea Duniani.
Aibu yao kusema mkanda umechakachuliwali wakati ukweli hata wao wanaujua hakuna kilichochakachuliwae
Nisichokubaliana na baadhi yenu humu ni hili la WATANZANIA kufa kwa malengo ya KISIASA kama ilivyotokea Arusha na kabla ya hapo Pemba. Hakuna kifo kinachokubalika lakini hili la vifo vya kisiasa halina TIJA wala maana yoyote kwa Mtanzania wa kawaida. Ni afadhali Mtanzania afe kwa kudai AJIRA, kulalamikia bei ya kilo ya unga, bei ya mkate, bei ya umeme, bei ya maji, karo kubwa za shule, huduma mbaya za elimu kwenye mashule ya UMMA na mambo yanayofanana na hayo.
Tusiendelee kuua watu wetu kwa malengo ya KISIASA ambayo hayawabadilishii lolote watu wetu. Wakati wa kampeni, Dr Slaa alisisitiza mara kwa mara juu ya kutomwaga damu ya Watanzania ili aende IKULU. Ni nini kinafanyika sasa?
Kuna haja ya CHADEMA Kuwa na TV Station jamaniiiiiiii!Sijui wataoneshea kupitia tv gani? StarTv ni ya Diallo ambaye ni mwana CCM anayetegemea kuchaguliwa kuwa mkuu wa mkoa;TBC1,ITV na Channel 10 walionesha iliyochakachuliwa lol! tusubiri tuone!!
Nisichokubaliana na baadhi yenu humu ni hili la WATANZANIA kufa kwa malengo ya KISIASA kama ilivyotokea Arusha na kabla ya hapo Pemba. Hakuna kifo kinachokubalika lakini hili la vifo vya kisiasa halina TIJA wala maana yoyote kwa Mtanzania wa kawaida. Ni afadhali Mtanzania afe kwa kudai AJIRA, kulalamikia bei ya kilo ya unga, bei ya mkate, bei ya umeme, bei ya maji, karo kubwa za shule, huduma mbaya za elimu kwenye mashule ya UMMA na mambo yanayofanana na hayo.
Tusiendelee kuua watu wetu kwa malengo ya KISIASA ambayo hayawabadilishii lolote watu wetu. Wakati wa kampeni, Dr Slaa alisisitiza mara kwa mara juu ya kutomwaga damu ya Watanzania ili aende IKULU. Ni nini kinafanyika sasa?
Nadhani sasa hivi huna adabu kabisa hata kama ni uhuru wa kutoa mawazo kwenye jamvi hili lakini huwezi ukaja na pumba zako hapa eti tulioandamana Arusha hatuna akili na hatujielewi nadhani wewe bado uko kwenye enzi za ujima ambapo unafikiri sisi wana Arusha ni matahira na mazezeta kwamba tutaweza kuburutwa na wanasiasa kwa nini sasa CCM na pesa zenu zote za kuhonga na dola mkononi hamjaweza kabisa kutushawishi tukatulia,Kama unasema hatujiwezi sio CCM iliyotupeleka hapo ,wewe ni Mjinga sana Kanyafu,wakati watu wanazoa rasilimali za taifa kujineemesha ,watu wanapindisha sheria kubambika viongozi watakao linda maslahi yao hapo Arusha wewe unabariki,Nadhani mumechelewa sana Wananchi tumeamka hatuhitaji wana siasa kutuhamasisha tumehamasika wenyewe kudai haki zetuIssues siyo video wala namna police walivyofanya kudhibiti uhuni wa Chadema uliokuwa kwenye cover la maandamano. Issue ni IQ ya viongozi wa Chadema kulazimisha maandamano ili hali wakijua hayo madhara kuwa yangetokea. Kwa sasa hatuhitaji kuona madhara kwenye CD. Ni upuuzi mtupu. Tutahitaji kuona viongozi wa Chadema wanachuliwa hatua stahiki za kisheria kukomesha kundi lingine la namna hiyo lisije ibuka. Mbona vyama vingine viko peace na waelewa sana, iweje Chadema iwe chanzo cha kila aina ya uhuni sasa hivi?! Hatuwezi tukawa na genge la wahamasishaji fujo, tena wanahamasisha kwa watu ambao ni destitute kabisa, hawana mbele wala nyuma na kuelewa chochote kinachoendelea Duniani.
Nisichokubaliana na baadhi yenu humu ni hili la WATANZANIA kufa kwa malengo ya KISIASA kama ilivyotokea Arusha na kabla ya hapo Pemba. Hakuna kifo kinachokubalika lakini hili la vifo vya kisiasa halina TIJA wala maana yoyote kwa Mtanzania wa kawaida. Ni afadhali Mtanzania afe kwa kudai AJIRA, kulalamikia bei ya kilo ya unga, bei ya mkate, bei ya umeme, bei ya maji, karo kubwa za shule, huduma mbaya za elimu kwenye mashule ya UMMA na mambo yanayofanana na hayo.
Tusiendelee kuua watu wetu kwa malengo ya KISIASA ambayo hayawabadilishii lolote watu wetu. Wakati wa kampeni, Dr Slaa alisisitiza mara kwa mara juu ya kutomwaga damu ya Watanzania ili aende IKULU. Ni nini kinafanyika sasa? -
WE WILDCARD! KWELI KICHWANI ZIMOOOO??? YAANI HADI UMRI HUU HUJUI KUKONECT PROCESS YA SIASA NA MAISHA YA KILA SIKU YA MWANANCHI? MODS - PLEASE SCRUTINISE VYETI VYA HII KICHWA!
Nadhani sasa hivi huna adabu kabisa hata kama ni uhuru wa kutoa mawazo kwenye jamvi hili lakini huwezi ukaja na pumba zako hapa eti tulioandamana Arusha hatuna akili na hatujielewi nadhani wewe bado uko kwenye enzi za ujima ambapo unafikiri sisi wana Arusha ni matahira na mazezeta kwamba tutaweza kuburutwa na wanasiasa kwa nini sasa CCM na pesa zenu zote za kuhonga na dola mkononi hamjaweza kabisa kutushawishi tukatulia,Kama unasema hatujiwezi sio CCM iliyotupeleka hapo ,wewe ni Mjinga sana Kanyafu,wakati watu wanazoa rasilimali za taifa kujineemesha ,watu wanapindisha sheria kubambika viongozi watakao linda maslahi yao hapo Arusha wewe unabariki,Nadhani mumechelewa sana Wananchi tumeamka hatuhitaji wana siasa kutuhamasisha tumehamasika wenyewe kudai haki zetu