Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,713
Tulia dawa ikuingie kunapoHeeee! Ni CHADEMA tena si UKAWA? Makubwa haya
Mkuu, hakika mnachekesha sana. Mnajifanya mpo pamoja ilhali kila mtu anawaza jambo lake. Kichekesho kweli!Tulia dawa ikuingie kunapo
Heeee! Ni CHADEMA tena si UKAWA? Makubwa haya
...hivi huyu Lizaboni vipi,nilikuwa nadhani huyu bwana anaweza kuwa msaada!.Kuwa na kondoo kama hawa ni hatari kwa ustawi wa ardhi hii.Heeee! Ni CHADEMA tena si UKAWA? Makubwa haya
Mkuu, hakika mnachekesha sana. Mnajifanya mpo pamoja ilhali kila mtu anawaza jambo lake. Kichekesho kweli!
Mkuu, hakika mnachekesha sana. Mnajifanya mpo pamoja ilhali kila mtu anawaza jambo lake. Kichekesho kweli!
Mkuu, hakika mnachekesha sana. Mnajifanya mpo pamoja ilhali kila mtu anawaza jambo lake. Kichekesho kweli!
kiukweli hata mimi sina imani na kadima hata kidogo. tangia wawaite wapinzani wenzao ccm B na kukataa hata kuunda nao serikali wakati kabla yao CUF walikubali kuunda serikali nao hata akina slaa na Zitto wakapata popularity walizonazo kupitia kwao walinitoka kabisa moyoni.Heeee! Ni CHADEMA tena si UKAWA? Makubwa haya
Sera ya Elimu ni kipaumbele namba moja katika kuinua uchumi wa Taifa.CCM watoke hadharani watuambie jinsi wanavyoweza kutekeleza sera ya Elimu bure.Hawawezi maana leo hadi waalimu wanakatwa mishahara kwa nguvu kujenga maabara huku mafisadi wakitafuna nchi
Sijakupata vizuri mkuu, eti CCM watoka hadharani wafanye nn? Watu wako busy na biashara tena watoke nje waje waharibu mambo! Ama kweli kutaka kumwambia mtu wa CCM kusema asicho kiamini na kutenda asichokisema ni sawa na kumtongoza mama mkwe mchana kweupe bila chembe ya pombe kicwani.Sera ya Elimu ni kipaumbele namba moja katika kuinua uchumi wa Taifa.CCM watoke hadharani watuambie jinsi wanavyoweza kutekeleza sera ya Elimu bure.Hawawezi maana leo hadi waalimu wanakatwa mishahara kwa nguvu kujenga maabara huku mafisadi wakitafuna nchi
Heeee! Ni CHADEMA tena si UKAWA? Makubwa haya