Dk. Slaa: Tukishinda elimu itakuwa bure

Dk. Slaa: Tukishinda elimu itakuwa bure





CCM baada ya kuona maji yamefika shingoni, inawakumbatia matajiri kama akina John Cheyo na wenye private schools kama akina mama Lwakatare ili kukabiliana na CHADEMA.

Katika watu ambao hawatataka CHADEMA ishike dola ni watu sampuli ya Mch. Lwakatare. Ni vyema tukaanza kuwaorodhesha maadui zetu. Adui yetu sio CCM pekee - anyone siding with CCM ni adui yetu!
Ninayo orodha ya watu 200 maadui hatari wa nchi hii , majina ya hawa wawili yamo !
 
Sera ya Elimu ni kipaumbele namba moja katika kuinua uchumi wa Taifa.CCM watoke hadharani watuambie jinsi wanavyoweza kutekeleza sera ya Elimu bure.Hawawezi maana leo hadi waalimu wanakatwa mishahara kwa nguvu kujenga maabara huku mafisadi wakitafuna nchi

Kaka hayupo mwana ccm mwenye nia ya kweli kuhusu maisha ya watanzania kwani wao lengo lao ni kutawala wether tunataka au hatutaki na watakaojitokeza hapa watakuja kutukana tu!
 
Back
Top Bottom