Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,100
Lowassa na Sumaye wana sifa zinazofanana na zile zile za watanzania wapenda mabadiliko, wanaoichukia CCM na kazi zake zote za kishetani! Huwezi kuwafananisha na hao Zitto na Dr.W.Slaa ambao wamejipambanua kama wapinga mabadiliko na Tanzania yote inawafahamu kama vibaraka wa CCM.Kama lowasa na sumaye wanavyofanana sifa zao
Kama walivyokutana mr.zero na jizi kuu
Wanamfanyia nani kampeni
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wa Chadema Dk.Wilbroad Slaa, Na Kiongozi Mkuu Wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndg.Zitto Kabwe Wanatarajia Kupanda Jukwaa Moja Sasa Kwa Ajili Ya Kufanya Kampeni.
Karibuni Wadau

Hili litakuwa ni pigo kubwa kwa wapinzani.
Hongera sana CCM kwa kuwapata wasasiasa hawa mahiri na wabinafsi.
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wa Chadema Dk.Wilbroad Slaa, Na Kiongozi Mkuu Wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndg.Zitto Kabwe Wanatarajia Kupanda Jukwaa Moja Sasa Kwa Ajili Ya Kufanya Kampeni.
Karibuni Wadau
Wote wana sifa moja inayofanana, USALITI!