Dk. Slaa matatani kwa ubaguzi

Dk. Slaa matatani kwa ubaguzi

Anatekeleza sera ya chama chake acheni kukuza mambo hayuko matatani
 
Gazeti lenyewe Laitwa MKAKATI ni Miongoni mwa yale Magazeti Ya UDAKU yakuzuka na Habari ya Umbea Kisha Linapotea..
 
CHADEMA inakufa, ACT-Wazalendo inachukua nafasi. Lazima mkasimame usiku pale Billcanas.

Nendeni mkamsaidie dada yenu kujibu hoja kwa nini shilingi yetu inaporomoka kwa kasi ya ajabu. Anatoa majibu ya kipuuzi nyie mnakimbizana na Chadema tu!! Nyie vipi!
 
"hata iweje hataingia jikoni ng'oo"

Nnakubaliana na hiyo kauli 100%.
 
Back
Top Bottom