ndio tunafahamu kauli ya mwenyekiti wa ccm kutangaza vita ya wenyewe kwa wenyewe itakapoanza msoga atakuona kama mbinguniMkuu Ritz mnawabembeleza nini hawa wehu?!
Saivi ni kujipanga tu namna ya kuwatwanga hawa wehu hakuna kingine mwenyekiti wa ccm aemsema!
Wakati wanawapiga watu walikuwa wanaona raha,leo kibao kimewageuzia wanaanza kulalama!!
Waache waje waipate,hawa jamaa wamewafanyia mbaya sana watu wa Igunga,Biharamulo,Busanda,Arusha na Tarime!
Waache tuuuu....waache tuuuuuuuu.....waache tuuuuuu........haki ya mama yani hawa tayari wameiingia kwenye 18........halafu watamu saaaaaaana!!!
Hetu tujikumbushe hii video ya bukoba boys ya huyu GAIDI
tuanze na kikwete apimwe kwanza ni raisi mwenda wazimu tu ndio anaweza chonganisga wananchi wakeHakuna haja ya kumpima akili, ni K.U.M.K.A.M.A.T.A kwa nguvu na kumfikisha Mirembe.
unachojua ni kauli za mwenyekiti wa ccm za uongo epa watarudisha pesa pesa inaenda kwenye akaunti zake ni na majina ya wazungu wa unga majangiri kumbe familia yake nu wahusika
1. itaichukua Tanzania siku 100 kupata katiba mpya
2. Tanzania itageuka kuwa nchi ya viwanda ndani ya mwaka mmoja
3. CHADEMA ikiingia ikulu mfuko wa saruji th. 5000
4. mabomba ya gezi yanajengwa kutoka mtwara kwenda Ulaya
5. nchi haitatawalika
Unaweza kuongezea upu.pu wa huyu Askofu.
View attachment 139689
mwenyekiti wa ccm anategemea polisi hivi wako wangapu wapu bunduki risasi na vifaru vulizidi nguvu ya wananchi mwenyeki wa ccn kalewa madaraja ndio maana utamsikua akikejeli kila mtu eti uraisi wangu hauna ubiyaSlaa Kasema Waswahili wanasema ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni. Hivi karibuni tulishangaa kauli ya Pinda kutaka polisi wawapige tu wapinzani, leo rais naye anawataka CCM waache unyonge, wajibu mapigo. Hii ni hatari sana, alisema Dk. Slaa."
Mtu anaye jibu Mapigo, si inamaanisha amepigwa bula kosa, kwa hivyo ana haki ya kujitetea. Wewe Bwana Slaa wach unafiki, washauri vijana wako waache fujo na kuumiza watanzania, hapatakuwa na haja ya mtu yoyote juwajibika kujibu mapigo..
Kwa maoni yetu, CHADEMA tunasema Rais Kikwete ameliingiza taifa vitani, amefungua milango ya uvunjifu wa amani, kinachofuata ni umwagaji damu.
Dr hayo ni maoni yako, nadhani jii kauli ya Raisi itafunga milango yote ya vurugu za vijana wako, ambao kwo kuogopa ni ujinga bali ujasiri wa kuwaumiza wa Tanzania ndio ufahari, Basi sasa hiyo milango itajifunga na tutaona Amani nchini. "Dawa ya Moto ni Moto"
Hii Nimeipenda, Dr hapa amependeza sana, hata sura yake inaonyesha Amani na Utulivu, naona ni kable hajaanza ule mchezo wa kula tunda lililo mtoa Adam peponi.
Akili za gongo wapi Rais kataja vita.
Wewe mjusi acha ujinga wako kwani slaa ninani katika jamhuri ya muungano wa Tanzania,jaribuni fujo muone.Atakaethubutu kumkamata Dr. W. Slaa nani!? wathubutu waone patakavyovurugika hapa.
kikwete dubai estate hainihusu kila mtu anajua kikwete anatawala kwa upanga sitashangaa kikwete akimalizia kwa dr slaa baada ya kuwanyamazisha milele akina mwangosiwewe dada safari za dubai na mwenyekiti zimekutia uchizi, mwambie slaa akileta fujo ni kichapo tu kinamhusu, hatuangalii cha uzee wake
Slaa ana hasira ya chopa 3
kata 3, ana hasira ya nguvu ya zitto kumfunika na kuzomewa kigoma na
kanda ya magharibi, ana hasira jinsi chadema inavyokufa huku akiiangalia
kwa macho.
Na mimi nataka tigo yako haiwezekani umpe kikwete peke yakeHakuna haja ya kumpima akili, ni K.U.M.K.A.M.A.T.A kwa nguvu na kumfikisha Mirembe.
Mbona wengi mnao-coment hii mnailenga CHADEMA tu wakati wamezungumza Lipumba, mbatia na Dr. Bashiru Ally? Kweli CHADEMA wanawapa headache CCM.
Huyu Mzee wa hali ya hewa tumemchoka. hana hoja, hana sera, mi nafikiri akili imeshazeeka anafaa apumzike maana kuna siku atatia aibu.1. itaichukua Tanzania siku 100 kupata katiba mpya
2. Tanzania itageuka kuwa nchi ya viwanda ndani ya mwaka mmoja
3. CHADEMA ikiingia ikulu mfuko wa saruji th. 5000
4. mabomba ya gezi yanajengwa kutoka mtwara kwenda Ulaya
5. nchi haitatawalika
Unaweza kuongezea upu.pu wa huyu Askofu.
View attachment 139689