B.G TANTAWI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 496
- 379
wote wanaotoa kauli za kichochezi na za kuvuruga amani ya nchi ndio wanaweweseka kwa kauli thabiti ya rais kikwete.
wewe ni shekh yahaya?? utabiri wako ni wa kizushi na ni wa kichochezi tu. watz tumekupuuza
Huku akijua kuwa yeye ni Rais wa nchi, na amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama, na akijua kuwa aliapa kuilinda katiba ya jamhuri ya Tanzania, kikwete alinukuliwa akitutaka sisi wanachama wa CCM tuache unyonge na tujibu mapigo ya wapinzani.
Kwanza Rais atakuwa ametangaza vita ya vyama katika chaguzi mbali mbali ziwe ndogo au mkuu, na upinzani wataanza kujihami mapema sana na hapo ndo vita kali itakapoanza.
Sasa natabiri haya yafuatayo:
Katika uchaguzi wa Kalenga Iringa machafuko yatatokea lakini hayatakuwa makubwa sana, yaan umwagikaji wa damu utakuwa mdogo.
Uchaguzi wa jimbo la chalinze ambao mwanae inasemekana anataka kugombea machafuko hayatakuwepo ila kutakuwa na mvutano wa kivyama tu.
Uchaguzi mkuu wa mwakani damu itamwagika sana si CCM wala Chadema au Cuf watu watapigana sana na kuuana sana.
Natabiri pia kuwa, Itakuwa ni CCM ndiyo itakayoomba mazungumzo ya vyama vya siasa ili kumaliza umwagikaji wa damu.
Natabiri vile vile kwamba, Vyama vya siasa vitakubali mazungumzo ila ndani ya mazungumzo hayo masharti kadhaa yatatolewa na vyama vya siasa na serikali ya mseto kuundwa.
Natabiri kuwa, Rais kikwete hatapata tuzo itolewayo na MO Ibrahimu.
Natabiri kuwa, Chadema itashinda mijini na baadhi ya maeneo ya vijijini na kura kati ya mgombea wa ccm na chadema bara zitapishana kidogo sana ikiwa wizi wa kura utadhibitiwa sana na chadema.
CCM Itaendelea kuiba kura au kuhujumu wagombea wa vyama vingine wasio na msimamo.
Natabiri kuwa Polisi na jeshi au vyombo vya dola wataipigia chadema kura nyingi sana.
Natabiri kuwa wakulima wa vijijini, wafanyabiashara wakubwa na baadhi ya vijana wataipigia ccm kura nyingi sana.
Natabiri vile vile kuwa chadema itapata kura nyingi kutoka kwa wanafunzi wa vyuo vikuu, baadhi ya wanawake, na watu wa hali chini, vijana wengi na watu maskini.
Natabiri kuwa Edward lowasa ndiye atakuwa mgombea urais wa ccm na chadema atakuwepo Dr.
Slaa.
kauli ya JK ni mwiba kwa wavuruga amani

Ujue hapo alikuwa anawatishia nyau wapinzani wapitishe katiba. Sasa nao wametetemeeeeeeeka, nimeona mmoja katoa li uzi hilo.
Yaani wapinzani hawajui tu, wanaweza mchezesha shere huyu mkulu kimya kimya na akashangaa. Wawe na msimamao tu, wasimamie wanaloamini, tena si kwa kulumbana naye wala jibizana naye. Wakimbizie moto kwa wananchi, mbona atasimamia kucha mwenyewe.
Kupambana na mfamaji raha sana, unaongea kidogo, actions more.
Haya drama ingine kutoka kwa Dr.Slaa sasa sijui BAVICHA watafuata yapi ya Lema au Dr.Slaa.