Dk Slaa azindua kampeni Kalenga

Dk Slaa azindua kampeni Kalenga

Nasikia Lusinde wamempeleka Kalenga na sifa kuu nikwa kuwa ana mdomo mchafu na kisima cha matusi
 
Mustaarabu yoyote hawezi kuzungu mzia kuugua kwa mtu mwingine.Ni wale tu wanao subiri kupelekwa Milembe wanaweza kuuliza Dr Slaa ataponalini mkono.Kila mtu ni mgonjwa mtarajiwa.
 
Kushinda ni lazima,hawezi dogo atoke Ulaya kuja kuchukua ubunge aende nao ulaya na sisi tuna ng'aa macho tu.
 
Huyo dogo akagombee London mbona nasikia amejiandikisha upiga kura huko?Alikuwa anajiandikisha kupiga kura ya nini kama siyo kutaka kugombea
 
Chris Lukosi uuse kono mtwa, na wale wa ibangamoyo, wasa nzihi, nyamihuhu, mangalali, ipamba hakikisha hawaendi MSALANI hadi mtegulage kigoda cha mjengoni bana. Vaingulaghe huko pabhasuungu
 
Last edited by a moderator:
huyu mama grace yuko chini ya uangalizi wa hawa viongozi wa chadema:
1. lema- mbakaji wa dada flora wa uk.
2. slaa- mporaji mke wa mtu bi. josephine mushumbus. ametelekeza mke na watoto.
3. mbowe- anazini na mbunge wake wa viti maalum mpaka kazaa nae. ametelekeza mke wa ndoa na watoto.
JE, huyu mama yuko salama kweli?

Ulitaka na wewe wakutie?
 
huyu mama grace yuko chini ya uangalizi wa hawa viongozi wa chadema:
1. lema- mbakaji wa dada flora wa uk.
2. slaa- mporaji mke wa mtu bi. josephine mushumbus. ametelekeza mke na watoto.
3. mbowe- anazini na mbunge wake wa viti maalum mpaka kazaa nae. ametelekeza mke wa ndoa na watoto.
JE, huyu mama yuko salama kweli?

Hapo kwenye No. 1 Aliyebakwa kule UK ni chriss Lukosi na ndio maana kila siku analalamika kuwa Lema hajachukuliwa hatua hadi sasa huku ikitambulika alichofanyiwa ni kitendo kilicho katika biashara yake.
 
Mbona wamekuumiza sana kama vile kuna baadhi ya huduma wamesitisha kwako? Isijekua na wewe unauza kabang!
 
SALOME SICHWALE bado masalia mnafulukuta??
Mmeumia saana kumtema Zito, amebaki mbunge wa mahakama!!
Angalia Italia PM chama chake kimemtoa kwenye UPM!!
 
Last edited by a moderator:
Iringa. Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa jana alizindua kampeni za kumnadi mgombea wa chama hicho katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Kalenga, Grace Tendega, huku akionya Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuongezewa posho.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Kalenga, Dk Slaa alisema chama hicho kimemtuma Mwenyekiti wake wa Taifa, Freeman Mbowe kuhakikisha posho haziongezwi.

“Naomba kabla ya kuendelea nitoe salamu za Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amebaki Dodoma kutokana na kuteuliwa kwenye Kamati ya Uongozi inayoshughulikia masuala yote ya Bunge la Katiba. Kamati ile inashughulikia masuala yote likiwamo la posho na tumemwambia mwenyekiti wetu ahakikishe posho haziongezwi,”alisema Dk Slaa na kuongeza:

“Yeye ndani ya kamati yupo peke yake na wengine wote ni CCM, tutahakikisha anawashinda, wakimshinda sisi tutatoka nje,”alisema.

Katika kampeni hizo, Dk Slaa alisisitiza kampeni hizo za ubunge zifanywe kwa amani na kwamba chama chake kitakuwa cha mwisho kuona damu ya wananchi wa Kalenga inamwagika.

Alisema katika kampeni nyingi zilizopita Chadema imekuwa ikisingiziwa kuwa ndiyo imekuwa chanzo cha vurugu, lakini ukweli ni kwamba hizo ni propaganda za chama tawala.

Kwa upande wake, Kiongozi wa Kimila wa Kabila la Wahehe (Mtwa) ambaye alihudhuria kampeni hizo, Abdul Sapi Mkwawa alimtaka mgombea wa chama hicho, Grace Tendega kufanya kampeni zake kwa amani huku akisisitiza kuwa hilo ndilo ombi lake.

“Mimi nimeitwa na nimekuja sababu mimi ni kiongozi wa watu wote, ninatoa baraka zote kwa dada yangu Grace, ninamwombea kwa Mungu aendelee na kampeni zake kwa amani hadi atakapomaliza,”alisema Sapi.

Naye Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema) Mkoa wa Iringa, Chiku Abwao aliwataka wakazi wa Jimbo la Kalenga kutokubali kununulika na kusisitiza kuwa wakati umefika wa kujikomboa kutoka kwenye ukoloni wa CCM.

Alisema atakuwa wa kwanza kushangaa kama wananchi hao watamchagua kiongozi ambaye hajui matatizo ya Kalenga kwa kuwa muda mwingi ameishi nje ya Kalenga.

Naye Mgombea wa Jimbo hilo, Grace aliwaomba wakazi wa jimbo hilo wamchague ili aende bungeni kushughulikia matatizo yao.

Mwananchi

Padre Babu slaa kweli umezeeka vibaya, yaani Mara hii amesahau alivyokipa chama châle masharti ya kulipwa mshahara na marupurupu sawa na mbunge, pale alivyoabiwa asigombee ubunge ili agombee urais, Sasa Leo iweje Leo apinge posho hizo kuongezwaaa?.

MY TAKE:
Babu mzinzi Slaa, Huu ni muda Wa kulea wajukuu, sio muda Wa kufanya siasa Tena!
 
Ndugu Hapo chini nime QUOTE, Hotuba ya Dr Slaa – Iringa Kutoka Gazeti la Mwananchi, Kinacho shangaza ni kuwa huyu Kiongozi ama kweli siasa zake ni za uchochezi, Posho imeombwa na wabunge wenyewe, na Serekali haina nia ya kuongeza, Kama huo usemi wake una ukweli wowote si kwanza wao “wangetoa Tamko la kichama kuwa ‘WABUNGE WAO WOTE HAWATACHUKUA NYOGEZA YOYOTE YA POSHO, NA HUO NDIO MSIMAMO WA CHAMA CHAO NA ATAKAYE VUNJA AMRI ATACHUKULIWA SHERIA YA KICHAMA” Badala ya kuingiza siasa mbovu kwenye mambo ya campaigne. Jee Slaa hakuna alijualo isipokuwa kuandama { tutahakikisha anawashinda, wakimshinda sisi tutatoka nje,”alisema.”}

“ Dk Slaa azindua kampeni Kalenga
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Viwanja vya Kalenga, Dk Slaa alisema chama hicho kimemtuma Mwenyekiti wake wa Taifa, Freeman Mbowe kuhakikisha posho haziongezwi.
“Naomba kabla ya kuendelea nitoe salamu za Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, amebaki Dodoma kutokana na kuteuliwa kwenye Kamati ya Uongozi inayoshughulikia masuala yote ya Bunge la Katiba. Kamati ile inashughulikia masuala yote likiwamo la posho na tumemwambia mwenyekiti wetu ahakikishe posho haziongezwi,”alisema Dk Slaa na kuongeza:
Yeye ndani ya kamati yupo peke yake na wengine wote ni CCM, tutahakikisha anawashinda, wakimshinda sisi tutatoka nje,”alisema.”

Huyu babu hana maana, ndiyo maana nasema chadema hawana hoja, badala ya kusema nini watafanya anakimbilia kuwadanganya tena, ikumbukwe miongoni mwa waliokuwa wakitaka posho kuongezeka ni mbunge wa chadema, wanaelewa fika kua posho haitoongezeka sasa wanataka badae waje watudanganye kuwa wao ndio waliofanya juhudi ya kuhakikisha posho hazipandi.

Siasa mchezo mchafu sana, tena mbaya zaidi huyu mzee ni padri na anadiriki kuwa anasema uwongo
 
Back
Top Bottom