Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,461
- 272,009
Wana Kalenga nao wanahitaji Chopa msiwabague Mbona Arumeru mlizipeleka! Slaa Leo anahubiri Uchaguzi wa Amani baada ya Dkt Jakaya kututaka kuacha Unyonge, Hongera Jabali la Siasa za Tanzania Mtukufu Dkt Jakaya Kikwete.
hapa ndiyo umeandika nini sasa ? Kumbe ndiyo maana siku hizi wanawake wengi wanaachwa !