Dk. Slaa aungopea umma mjini morogoro

Ukiona mbabu ana ndoto ya kuingia ikulu ujue anaupungufu wa kinga za mwili

umezipatia aswa lkn umezigrade kwa chini hakuna junior seminary hata moja inayotoa certificate. ...kwa hiyo ur information is wrong


ila bora kuwa na rahis kama huyu kuliko aliyesoma jkt
 
inawezekana umemjua kinana juzi kwa kuwa wewe ni .com pole ngoja uletewe mambo yake hapa utajua hicho cheo alichopata juzi ni cha ngapi
hata uwe na elimu chumba kizima kijae kama huna busara sawasawa na bure tu mfano huyo babu mnaemnadi hapo kwani angetafuta mwanake huko mtaani akamfanya mkewe nani angemuuliza matokeo yake msomi huyu fake katoka kanisani huko na kupora hovyo wake za watu elimu yake iko wapi vyeo vyake vipo wapi vinaji delete vyenyewe,asituksnishe kanisa na uroho wake wa madaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…