Hata wewe P, umefikia hii stage? na taluma yako unajivua nguo kiasi hiki?Hivi Dr Slaa nae ana size yake ndani ya CCM? labda ajifananishe na wapora wake za watu huko na aachane kabisa na makada wa CCM.
unajua kuna vijana ccm ambao mawazo yao ni ya kizee kuliko hata hao unaowaita eti wamezeeka kwa mtazamo wa ukomo wa ubongo wako?Babu anazidi kuzeeka vibaya na kila siku anazidi kupoteza kumbukumbu
tarehe mosi juni,2013, dk slaa alihutubia umma mjini morogoro. Aliongea mengi sana ambapo alitumia ada ya kalamu yake kuungopea umma mjini hapo. Slaa alisikika akisema kuwa "siwezi kumzungumzia kinana kwani siyo size yangu
.nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?. Zaidi ya slaa kuwa padri na katibu wa baraza la maaskofu, mbunge na sasa ni kattibu wa chadema saccos nini kingine?"
.
Inaelekea alimtosa mama yako mbona kila siku habari za Josephine hata mahala pasipostahili Kinana si saizi yake kwa sababu ni mwizi ni jangiri,meli zake zinafilisi nchi,yeye mwenyewe kaingia ubia wa gesi na kampuni ya Artumus sasa atakuwa vipi ya saizi ya mfuja mali za nchislaa amechanganyikiwa na mambo ya josephine kwa hiyo kila akianza kuzungumza anamfikiria mkewe wa kupora
Baba yako angekuwa ndio anatambua PhD za watu ndio tungekuamini lakini maadamu ni chombo cha serikali kilichowekwa kwa mujibu wa sharia tunathamini elimu yake na process nzima aliyopitia elimu hiyo,by the way Kinana aliyesoma kila aina ya shule nzuri ametusaidia nini zaidi yakuingia kwenye biashara haramu za binadamuNAIJUA SANA ELIMU YA SLAA. HII HAPA KWA UFUPI:
1: MWAKA 1972-1973 ALISOMA CERTIFICATE IN PHILOSOPHY
2: MWAKA 1974-77 ALISOMA CERTIFICATE IN THEOLOGY
3: KISHA MWAKA 1977-1981 ALISOMA PHD YA SHERIA ZA UKRISTU MBAYA ZAIDI HATA BILA KUSOMA SHAHADA YA KWANZA NA NDIYO MAANA SIKU ILE PALE MOROGORO ASILIMIA 78 YA MAZUNGUMZO YAKE YALIKUWA NI MATHAYO 9;4
4; baada ya hapo slaa alisoma alama za nyakati na hivyo kwenda kusoma elimu hii ya secular ngazi ya advanced diploma mwaka 1981 na kisha mwaka 1985 alisoma certificate in management
mkuu hiyo ndo elimu ya katibu wenu wa chadema saccos. kuna raisi hapo
Yaani umeingia hapa JF juzi ukaona uingie na Uzi unaomuhusu Dr.? Imekula kwenu na sikilizia maumivu ya majibu utakayo teremshiwa hapa!Yeye ndo anakosa usingizi kwa jinsi anavyoiona ikulu ikimpitia mbali
Mwenye 'CV kubwa' yupo bize kuboresha CV yake, hana muda wa midahalo
inawezekana umemjua kinana juzi kwa kuwa wewe ni .com pole ngoja uletewe mambo yake hapa utajua hicho cheo alichopata juzi ni cha ngapiNyadhifa alizowahi kushika mh Dr Slaa huwezi kulinganisha na za mwizi wa pembe za ndovu.
Kinana zaidi ya ubunge wa hapa Arusha hajawahi kuwa na nyadhifa nyingine zaidi ya mjumbe wa kamati kuu ya magamba.
Angalia elimu ya Dr Slaa then uangalie na ya huyu jangili wa nyara za serikali. Yaani utofauti wake ni sawa sawa na mbingu na ardhi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hahahaha,elimu ya slaa...hahahaha...!!unazingumza kitu gani unaijua elimu ya slaa. au unapiga domo