Dk. Slaa aungopea umma mjini morogoro

Hivi Dr Slaa nae ana size yake ndani ya CCM? labda ajifananishe na wapora wake za watu huko na aachane kabisa na makada wa CCM.
 
Lumumba Project mmejazana, Well, kwa nini msiwe mnajenga hoja vizuri, kwa kuandika kinachoeleweka? mnaandika kama mnakimbizwa? poleni
 
Ambacho hukuelewa nini? au je UONGO huko wapi?

Kwani hawa Dr. W. Slaa na Kinana wako SIZE moja?.

Au unadanganywa na wote kuwa makatibu wa Vyama vya siasa!.

Soma katikati ya maneno ya Dr. Slaa utapata majibu kama huwezi kutumia macho yako vizuri!.

Heri kujenga daraja kuliko kuta
 
.nilicheka sana huku nikijiuliza kuwa, slaa ana cv na uwezo gani kumshinda kinana?
.

Naomba kukufahamisha kuwa kwenda shule sio kuelimika. Unaweza ukaenda shule lakini ukatumia elimu yako kwa mambo tofauti kabisa kuliko vile ambavyo jamii inakusudia. Unaweza ukawa na cv ndefu sana, lakini ikawa haina changamoto katika jamii. Kila jambo lina mahali pake. unaweza ukajiona mkubwa sana katika sehemu fulani, lakini ukawa mdogo sana katika sehemu nyingine. Tujiulize kwanza kabla ya kumdhihaki Dr. Slaa kwamba alivyoongea hivyo alikuwa anaongea katika mantiki gani. Tujifunze kutafsiri misemo inayosemwa tukizingatia mazingira ya misemo hiyo na sio kuchukulia kila kinachotamkwa na kukiona kama kilivyo. Katika kufanya hivyo tunatakiwa tujue nadharia ya kutafsiri maneno yanayozungumzwa ili kupata maana ya kile kilichozungumzwa, (hermeneutics).
 
Lumumba Project mmejazana,
Well, kwa nini msiwe mnajenga hoja vizuri, kwa kuandika kinachoeleweka?
mnaandika kama mnakimbizwa? poleni

Wanawahi book 7 zao utulivu ziro! Njaa mbaya sana wanakurupuka tu wanashindwa kujenga hoja.
 
Ukitaka kuufahamu ukomo wa kufikiri na wa kuchambua mambo ulivyo duni miongoni mwa WanaCCM ni namna wanavyo zichangamkia Mada za kipuuzi na zinazowekwa watu wenye kiwango cha chini kiuelewa kama wanavyo fanya hapa.Huwezi kuwaona watu hawa kwenye mada zinazohitaji akili sana na ufahamu wa kutosha kuchangia.
 
Lumumba Project mmejazana, Well, kwa nini msiwe mnajenga hoja vizuri, kwa kuandika kinachoeleweka? mnaandika kama mnakimbizwa? poleni
Walioelewa wanachangia ila wewe mwenye akili za bavicha ndo umebaki gizani
 

kwanza ukitaka kujua ni nani anza kujifananisha nae.kama utaona mnafanana then wewe jilinganishe na kinana utapata jibu.ila usijejiona wewe ni kama inzi shauriyako.
 
Hivi Dr Slaa nae ana size yake ndani ya CCM? labda ajifananishe na wapora wake za watu huko na aachane kabisa na makada wa CCM.

tatizo lako wewe uzee wa akili yako.toka nje ya box
 
Walioelewa wanachangia ila wewe mwenye akili za bavicha ndo umebaki gizani
Wajinga sana hawa jamaa sasa alichoongopa ni nini? mods nao wanalala, poa tu tunasonga!
 
meno ya tembo!
 
Nyie ile sheria ya udhibit wa mitandao naona haiwahusu!! Au imewekwa kudhibit baadh ya watu ila nyie mlioko hapo hapo kwa wanaoitangaza haiwahus kinana weka mbali na tembo...... Mbona yenyewe mkuuu huingelei au yenyewe haikusemwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…