Dk. Slaa atuzwa Tuzo ya Haki za Binadamu ya Maji Maji kwa mchango wake Bungeni!

Status
Not open for further replies.
Angekuwa na tamaa ya madaraka angetangaza baraza lake la mawaziri kama OUATARRA.

Huyu ndiyo Doctor wa Ukweli, pamoja na kuibiwa kura katumia busara.

Hongera Rais wangu, ulistahili hiyo tuzo na nyingine nyingi.


ila mkuu OUATARRA alikuwa na haki ya kufanya alivofanya bana...
 

Hata hivyo hatujui makeke yake bungeni yalikuwa kwa ajili ya "mabwana" zake au wananchi wa Tanzania.Ukweli unabaki kwamba ameangusha sana wapenzi wake.Alipashwa kuwapa feedback.Alianza vizuri lakini amemalizia vibaye sana.Hakupashwa kupewa nishani hiyo.
 

Hii inathibitisha ukweli kuwa 'rais wa umma' yupo mioyoni mwa umma na sio ktk blaa blaa za wezi na mafisadi. Kwa mtizamo wangu, huyu Kinara wa Taifa na nyota yake anatakiwa atunukiwe pia Tuzo ya MwanaSiasa makini na mwenye Maono kwa Taifa. (inaweza kuandaliwa na taasisi za kiraia) Maana alipolifikisha Taifa hakuna yeyote aliyewahi kufanya mabadiliko, na kuwajenga watanzania kawa alivyofanya pamoja na alivyotuliza umma kutokana na hali ya wizi wa ushindi na demokrasia, ingekuwa sio busara zake tungekuwa Ivory Coast nyingine.
 

Nishani ya Nobel ina thamani kubwa sana yaani inaambatana na cash prize. Hiyo tuzo ya maji maji na thamani gani kwa maana ya cash prize? au ni kinadi tuu
 
hiyo si ajabu kwani Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinajulikana ni taasisi ya Chadema
 
Nishani ya Nobel ina thamani kubwa sana yaani inaambatana na cash prize. Hiyo tuzo ya maji maji na thamani gani kwa maana ya cash prize? au ni kinadi tuu

Kaka; ni njaa inakusumbua au...!
Kati ya wote waliokwishachangia hapa, wanaonyesha mtizamo wa kitaifa na kijamii zaidi ila wewe.....! Hela...thamani ya haki na heshima haipimwi kwa fedha/cash prize...! Hivyo kama jamii inamkubali Dr Slaa kwa heshima na fikra zake kulikomboa Taifa kwa nyanja mbalimbali ikiwa ni pamoja na mchango wake ndani ya Bunge, hata wangempa fedha bila heshima isingekuwa na thamani yoyote! Mafisadi wanapeana ma-hela lakini tafakari jinsi hadhi yao ilivyotoweka ktk jamii....
Dr Slaa anastahili thamani na heshima zaidi ya fedha...
 
Congrats Mr. President..nilishiriki katika dodoso lililopitishwa na tume ya haki za binadamu..hawakuchakachua kama redet!. Big-up
 
NAKUMBUKA mrema AMEWAHI KUWA NICKNAMED...."RAIS WA MANZESE"... na dr. ni rais wa wapi? kundi gani? "WAKE ZA WATU"
 

hujui ukabila wala udini,wewe wafata mkumbo tu...pole
 

Ukipewe heshima inayoendana na cash prize itasaidia kuzidisha harakati za lile jambo ulilotuzwa. Prof. Mathari nadhani alipata si chini ya USD 2 million kwa harakati zake za kupambana na uharibifu wa mazingira; kwa kiasi fulani zitakuwa zimemsaidia kuendeleza harakati zake. Kutambulika kunaendana na uwezo wa kifedha wa kutetea kile unachokiamini.
 

Na mwisho mara si mara moja kila za Simba na Yanga kujitoa kwenye mashindano makubwa kama hayana cash prize; kwa nini wasingecheza tuu ili watambulike?
 
dr slaaa dr slaa dr slaa dr slaa dr slaa dr slaa dr slaa wote pigeni makofi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…