Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimemtunukia aliyekuwa mgombea Urais na Katibu mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Peter Silaa tuzo ya Majimaji kutokana na mchango wake katika Bunge lililopita wakati alipokuwa mbunge wa Karatu.
Tuzo hiyo amekabidhiwa leo usiku katika sherehe zilizofanyika huko jijini Dar eneo la Kijitonyama.
Mpaka sasa Dk. Slaa anakuwa mtu wa pili kutuzwa tuzo hii ambayo hutolewa mara moja kila baada ya miaka mitano huku wa kwanza akiwa ni Jaji Mwalusanya aliyeipokea Mwaka 2005.
Tanzania has one president, its not like Ivory Coast. We have his excellency J.M.KikweteHongera Dr. Wakweli & my president.
Tanzania has one president, its not like Ivory Coast. We have his excellency J.M.Kikwete
Nkikabila chake na mtandao wake wa kikatoliki ulio mtunza tuzo hilo, wapo wengi wanaostaili hapa bungeni, waliopambana miaka mingi mpaka leo sio mchungaji
Hii sherehe ya tuzo imefanyika kanisani unategemea nini ???? ni uleule mtandao wa kikabila na kidini
Tanzania has one president, its not like Ivory Coast. We have his excellency J.M.Kikwete
Tanzania has only 2 president by law. The katiba na JK na president of Tanganyika Law Society is there by law. Now sisi wanachadema rais wetu ni H.E. Dr. W.Slaa. Cc c Tanzania ila wanachadema...