this is really JF the HOME OF GREAT THINKERSwe vipi sasa unaweza kumlinganisha Pengo ha hilo tikiti maji Sheikh Simba??? we vipi ?Sheikh Simba hawezi kufanya utafiti maana hata kuandika kwenyewe hajui sasa tafiti atafanya saaa ngapi na kupiga lamli atapiga saa ngapi?
We Mmanga una matatizo!! Kwani hujui CDM ilianzishwa lini na akinani?? Unataka kutwambia kuwa hujuwi Dr. Slaa alikwenda CDM lini na kwa sababu gani?? Acha propaganda za jikoni!! Kwa jinsi unavyoandika inaonekana kabisa kuwa wewe unajuwa nani yuko behind all these na kazi yako ni kupandikiza hiyo propaganda hapa. Tumekustukia!!
Ndugu yangu Tahwa. Sheikh Mkuu amepiga tu Madrasa lakini Pengo kasoma masomo yote kama wewe na kuongezea Divinity. Tofauti yao kifra ni kubwa sana yaani kama kulinganisha Mt. Kilimanjaro na kichuguu cha mchwa. Tukubali kuwa kakurupuka atafakari upya kauli yake.
we vipi sasa unaweza kumlinganisha Pengo ha hilo tikiti maji Sheikh Simba??? we vipi ?Sheikh Simba hawezi kufanya utafiti maana hata kuandika kwenyewe hajui sasa tafiti atafanya saaa ngapi na kupiga lamli atapiga saa ngapi?
Huyu atafanya utafiti saa ngapi? Anazo hizo akili?
ni kweli kabisa lakini na upande wapili uwe makini tumia maneno makali, maana hakuna mwenye moyo wachuma kuvumilia maneno yao ya ajabu ajabu...Jamani tuwe makini. kumtukana kiongozi wa dini sio jambo la busara hata kama wewe huiamini hiyo dini.
chadema= JF= ukristo na ndio maana hamuachi kutukana na kubeza lolote linalofanywa na waislam, mmezidi chuki zenu kwa taarifa tu hii nchi sio yenu pekee yenu ni yetu sote na kila mtu ana haki ya kuongea,
mnashindwa kabisa kuficha yaliyomo katika nafsi zenu chuki, chuki chuki, tukisema chadema udini mnakataa! wakati majibu kama haya tunayaona hapa JF ni chadema chadema chadema hata chadema wakiropoka mnaona ni point tu na hili ndio litakalowaangusha mnawashtua hata waliolala, Tafakarini! na kujidai kwenu waasomi wajuzi nk mnashindwa kuficha ubinafsi na chuki mlizonano! MSIJISAHAU mkahisi uhuru niwenu peke yenu
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana
Na wewe fanya utafiti...........Kabla ya kuandika...... Usiwe na akili za kuangalizia......we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana
chadema= JF= ukristo na ndio maana hamuachi kutukana na kubeza lolote linalofanywa na waislam, mmezidi chuki zenu kwa taarifa tu hii nchi sio yenu pekee yenu ni yetu sote na kila mtu ana haki ya kuongea,
mnashindwa kabisa kuficha yaliyomo katika nafsi zenu chuki, chuki chuki, tukisema chadema udini mnakataa! wakati majibu kama haya tunayaona hapa JF ni chadema chadema chadema hata chadema wakiropoka mnaona ni point tu na hili ndio litakalowaangusha mnawashtua hata waliolala, Tafakarini! na kujidai kwenu waasomi wajuzi nk mnashindwa kuficha ubinafsi na chuki mlizonano! MSIJISAHAU mkahisi uhuru niwenu peke yenu
Tunashukuru kwa kuwasilisha maneno ya kadinali Pengo kwa niaba yake, Slaa acha kutumika na wakatoliki