Naomba makamanda wa CDM ndani ya M4C wakifika Mkoa wa Lindi, tafadhali wafike kwenye tarafa zote ili wamalize kazi mkoa huu, hakuna tofauti kabisa na huko Tandahimba; Fikeni Lindi mjini, Ng'apa, Milola, Nangaru, Mipingo na nyingine zote mkoani hapa. Watu wanawasubiri kwa hamu mno, JITAHIDINI na MUNGU MWEZA WA YOTE AKAWATANGULIE!!!hongera chadema kwa kuwaamusha watanzania.!