kigoma mjini
Member
- Dec 1, 2013
- 95
- 9
katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 wagombea ubunge wa majimbo ya Mlalo ndg Charles Kagonji na wa jimbo la lushoto mjini ndg Deo Kisandu kwa tiketi ya chadema, Dk. Slaa aligoma kwenda msjimbo hayo kutokana na kuogopa kumwangusha rafiki yake Yusuf Makamba ambae waliongea kutokufika majimbo hayo. Hata hivyo Slaa aliacha kwenda Lushoto mara mbili kinyume na ratiba na kushuka korogwe vijijini ambayo haikuwemo kwenye ratiba,pamoja na Deo kisandu kumfuta mombo na gari lakini slaa aliendelea kuweka msumeno. Nashangaa sana wenje anapomlaumu zitto kuwa hajamnadi. viongozi wote CDM ni mamluki. baada ya uchaguzi mkuu2012 babu ndiyo akaenda Lushoto kwakuwa hakuna uchaguzi.