Dk. Slaa aligoma kwenda Lushoto kwasababu ya urafiki na Mzee Makamba uchaguzi mkuu 2010

kigoma mjini

Member
Dec 1, 2013
95
9
katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 wagombea ubunge wa majimbo ya Mlalo ndg Charles Kagonji na wa jimbo la lushoto mjini ndg Deo Kisandu kwa tiketi ya chadema, Dk. Slaa aligoma kwenda msjimbo hayo kutokana na kuogopa kumwangusha rafiki yake Yusuf Makamba ambae waliongea kutokufika majimbo hayo. Hata hivyo Slaa aliacha kwenda Lushoto mara mbili kinyume na ratiba na kushuka korogwe vijijini ambayo haikuwemo kwenye ratiba,pamoja na Deo kisandu kumfuta mombo na gari lakini slaa aliendelea kuweka msumeno. Nashangaa sana wenje anapomlaumu zitto kuwa hajamnadi. viongozi wote CDM ni mamluki. baada ya uchaguzi mkuu2012 babu ndiyo akaenda Lushoto kwakuwa hakuna uchaguzi.
 
Kwanza Yusuph makamaba hajawahi kuwa rfiki na Dr sLAA hata siku moja, mwak 2010 tar 11/9/2013 alimtukana Dr Slaa kuwa anakimada na Dr Slaa alimjibu kwa kumtaka atoe sababu za yeye kuingia katika siasa na kuacha kazi yake ya ualimu na hatimaye makamba kumwomba msamaha Dr Slaa, lakini bado Dr Slaa alikwenda mjini tanga katika majimbo yote ya uchaguzi kuomba kura akiwa mgombea wa urais. Kanye kwanza ndio uje hapa na hoja zako mana naona haja ikikubana unalopoka tuu
 
acha uongo bro. babu aliishia korogwe, mheza na tanga mjini basi. usiwadanganye watu. makamba na slaa ni marafiki wakubwa nje ya siasa.
 
Hivi Yusuph Makamba aligombea cheo gani kwenye hayo majimbo mawili? Just curious...

Kisandu ameishasahaulika kwenye siasa za bongo, hii style ya kutaka kurudi kwa mgongo wa Dr Slaa haitamsaidia. After all tumeishawazoea wanasiasa uchwara wa bongo wengi wao ili wajulikane lazima wapitie mgongo wa Dr Slaa
 
hakufika Lushoto kutokana na hali ya hewa ya mawingu na mvua;na kule kuna milima mingi nayeye alikuwa anatumia chopa isingekuwa salama wao kwenda, nilikuwepo Lushoto mjini kwa shughuli zangu na watu walikuwa wanamsubiri;na hali ya hewa kwa kweli ilikuwa sio nzuri
 
wewe acha uongo hiyo ni propaganda hakukuwa na mawingu wala mvua. na kama ni hivyo mbona alifwata kwa gari akagoma kwenda.
 
NA HAPA ANGALIA KWAO NA ZITO KABWE
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
wewe acha uongo hiyo ni propaganda hakukuwa na mawingu wala mvua. na kama ni hivyo mbona alifwata kwa gari akagoma kwenda.

wewe ndio muongo, mie nilikuwepo ngoja nikuulize Lushoto unakujua? na siku Dr Slaa anakuja ulikuwepo Lushoto?
 
inasaidia nini kwani? hata kama ni marafiki au maadui,je uhusiano wao unakuwekea msosi mezani?
 
Kwanza Yusuph makamaba hajawahi kuwa rfiki na Dr sLAA hata siku moja, mwak 2010 tar 11/9/2013 alimtukana Dr Slaa kuwa anakimada na Dr Slaa alimjibu kwa kumtaka atoe sababu za yeye kuingia katika siasa na kuacha kazi yake ya ualimu na hatimaye makamba kumwomba msamaha Dr Slaa, lakini bado Dr Slaa alikwenda mjini tanga katika majimbo yote ya uchaguzi kuomba kura akiwa mgombea wa urais. Kanye kwanza ndio uje hapa na hoja zako mana naona haja ikikubana unalopoka tuu

Kunya ameshakunya ila amesahau tu kutawaza. Labda umshauri akatawaze kwanza.
 
Pamoja na kuwepo kwa hali mbaya ya hewa kiasi cha kutaka kuleta ukakasi ktk zoezi zima la kampeni dr. aliweza fika maeneo mengi tu ndani ya lushoto.
 
katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 wagombea ubunge wa majimbo ya Mlalo ndg Charles Kagonji na wa jimbo la lushoto mjini ndg Deo Kisandu kwa tiketi ya chadema, Dk. Slaa aligoma kwenda msjimbo hayo kutokana na kuogopa kumwangusha rafiki yake Yusuf Makamba ambae waliongea kutokufika majimbo hayo. Hata hivyo Slaa aliacha kwenda Lushoto mara mbili kinyume na ratiba na kushuka korogwe vijijini ambayo haikuwemo kwenye ratiba,pamoja na Deo kisandu kumfuta mombo na gari lakini slaa aliendelea kuweka msumeno. Nashangaa sana wenje anapomlaumu zitto kuwa hajamnadi. viongozi wote CDM ni mamluki. baada ya uchaguzi mkuu2012 babu ndiyo akaenda Lushoto kwakuwa hakuna uchaguzi.

ni kweli Dr. slaa hakufika ktk jimbo langu la lushoto kwasababu ambazo binafsi hazikuwa na msingi wowote. aksante Kigoma mjini kunikumbusha
 
Kwanza Yusuph makamaba hajawahi kuwa rfiki na Dr sLAA hata siku moja, mwak 2010 tar 11/9/2013 alimtukana Dr Slaa kuwa anakimada na Dr Slaa alimjibu kwa kumtaka atoe sababu za yeye kuingia katika siasa na kuacha kazi yake ya ualimu na hatimaye makamba kumwomba msamaha Dr Slaa, lakini bado Dr Slaa alikwenda mjini tanga katika majimbo yote ya uchaguzi kuomba kura akiwa mgombea wa urais. Kanye kwanza ndio uje hapa na hoja zako mana naona haja ikikubana unalopoka tuu

Dr.Slaa alienda majimbo ya korogwe,mheza na Tanga mjini tu. na huo ndio ukweli halisi
 
hakufika Lushoto kutokana na hali ya hewa ya mawingu na mvua;na kule kuna milima mingi nayeye alikuwa anatumia chopa isingekuwa salama wao kwenda, nilikuwepo Lushoto mjini kwa shughuli zangu na watu walikuwa wanamsubiri;na hali ya hewa kwa kweli ilikuwa sio nzuri

hali ya hewa ilikuwa nzuri sana ila visingizio vya kuwahi mdahalo itv.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom