Dk. Slaa aligoma kwenda Lushoto kwasababu ya urafiki na Mzee Makamba uchaguzi mkuu 2010

Na majimbo aliokacha Zitto anajua yalikua majanga,ndo hao sasa tunawaita chadema lipyoto
 
Deo Kisandu acha unafiki,je unakumbuka watu walikaa na kusimama kandokando ya barabara kuanzia Lukozi hadi Kwezindo Mlalo wakati wakimsubiri Dr akitoka kisiwani Same?je unakumbuka wewe ndiye piga simu Kwa mzee Kagonji kuwa chopa imeshindwa kupanta milima kutokana na wingu kubwa lilitanda anga la usambara?je unakumbuka wewe ndie uliyeomba watu wenye uwezo ufuatane nao Mombo?je unakumbuka ulitutaarifu kuwa kwa wenye luninga washuhudie mdahalo wa Dr Slaa saa2 usiku?je unakumbuka maneno yako hayakuwa tofauti na yale ya Dr wakati akianza kuzungumza katika mdahalo ule?ni vema ukaacha ushabiki katika mambo mengine maana utakuwa mlevi wa sifa za kijinga.

kama unavyojua padre ni mjanja sana na ndio mana dogo akafata mkumbo na maagizo ya padre
 
Vipi na ile ya Rais kutokwenda Kigoma Kaskazini kipindi cha kampeni tuuite ni kwa sababu ya Ushoga wao au inakuaje hapo hebu dadavua aisee

kitendo cha babu slaa kutokwenda lushoto kumnadi Kisandu ni ushoga pia.
 
Kama machale yalimcheza akupigie chapuo msaliti we huwezi shinda bila Dr slaa?

Angekupigia kampeni si ungekuwa MM4 kweli

Jamani masalia, Wasaliti sina zawadi ya kuwapa zaidi ya kuwaombea mipango yenu iwe kama mbuni aliyefunika kichwa akaacha mwili wazi bila kujijua na MKAFIE MBALI KIMKAKATI NA KISIASA na ndo mnayostahili.

Mnadhani mnasafishika kuwasafisha nyie na usaliti wenu ni sawa na kuosha kanzu na mkaa ukitegemea itangaa mlaaniwe mjini na vijijini watu na kuwaona si lolote kwa hujuma za ukombozi wa pili

wewe ndo gaidi na tu Kikwete ameshakusamehe juzi kutoka segerea
 
ndio mnajibu hoja za kifo cha msaliti mkuu kumnusuru jibuni Hoja kuu
1.Waraka
2.Siri za...
3.Kwanini mlitumia wakili kuonyesha ukiukwaji wa katiba ili muendelee kuwa viongozi na wanachama wa CHADEMA YATOSHA au CHADEMA NDO MPANGO MZIMA na wakati wa KUSALITI, KUHUJUMU hamkumtumia wakili kutumia katiba ktk kuhujumu chama.

Mnataka katiba iheshimiwe kulinda wasaliti na hamtaki iwaumbue wasaliti ambao waliona wakitumia haina ushirika na usaliti iweje mjifiche nyuma ya katiba ambayo mlitenga wakati mnaandaa usaliti??

Mlaaniwe vijiji, mjini mkiongea habari za ukombozi MSIELEWEKE kwa kuwa mchana ukombozi usiku Ukoloni mweusi, Mlaaniwe na vyama na wapenda mabadiliko, wasomaji na watazamaji waonapo habari zenu na wawaangaliapo kwenye TV WATEME MATE, Mlaaniwe bungeni hata na wapenda mabadiliko wa ssm na majimboni wawape zawadi ya kupigwa chini kwenye kura kwa kuwa mmekataa mabadiliko muwe wahanga wa mabadiliko. mlaaniwe na mabadiliko

zzk ni jembe sana
 
Acheni kupotosha jamani

ndugu Kisandu sema ukweli. Lyshoto ni nyumbani japo naenda likizo kwani kikazi siishi huko. nakumbuka Ndugu yangu alinisimulia jinsi walivyomsubiri Dr. Slaa Muda Mrefu na mwisho wakaambiwa hataweza kufika kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya. Kumbuka kuwa aliwahi panda akapotea na kutua Mlalo kilomita 30 toka Lushoto Mjini.
 
ndugu Kisandu sema ukweli. Lyshoto ni nyumbani japo naenda likizo kwani kikazi siishi huko. nakumbuka Ndugu yangu alinisimulia jinsi walivyomsubiri Dr. Slaa Muda Mrefu na mwisho wakaambiwa hataweza kufika kutokana na hali ya hewa kuwa mbaya. Kumbuka kuwa aliwahi panda akapotea na kutua Mlalo kilomita 30 toka Lushoto Mjini.
achana na huyo mwendawazimu, alipokelewa vizuri na wenyeji leo anaita jimbo lake la lushoto,
 
umejuaje kama slaa aliongea na makamba au wewe ni mwandani wa slaa kama si makamba? et dada?
 
wewe acha uongo hiyo ni propaganda hakukuwa na mawingu wala mvua. na kama ni hivyo mbona alifwata kwa gari akagoma kwenda.
Mtu unaitwa baba Clara halafu unshabikia umbea dr. Hakwenda Lushoto kwa sababu ya hali ya hewa na aliwaomba msamaha watu wa huko kupitia television nakumbuka kbs looh aibu hiyo mtu mzm
 
Back
Top Bottom