BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,906
- 8,098
Ndoto zingine hazina maana.
ITALY ukikutwa unamuingilia mwenamme mwenzio ww utakua raia mwema lkn ukitaka kuoa mwanamke unafungwa.
naona mkuu bila ya kumtukana Mtume Muhamad (S.A.W) nafsi yako haijaridhika kabisa. Are you happy now?ndoto huwa ni matokeo ya kazi nyingi za mchana kuna jamaa alikuwa anaota anaongea na mungu akizinduka anawasimulia washikaji zake kile alichokuwa anaongea na mungu, alipofariki marafiki zake waka-compile zile ndoto wakaita korani, matokeo hasi ya hizo ndoto dunia yote inayashuhudia, chungulia afghanistan ukikutwana tv set unafungwa ukikutwa na AK47 unaonekana raia mwema, kwa hiyo ndoto sio kitu kizuri na hazifai kusimuliwa.
umesahau kwamba aliambiwa kwamba alishiriki kumuua Rais Karume?Habari wakuu wa jamvi...
usiku wa kuamkia leo nimeoteshwa kuwa CCM katika uchaguzi ujao 2015 wanamsimamisha ndugu salim ahmed salim na atashinda kuwa rais wetu ajaye..
baada ya kuamka nikaanza kutafakali nikaona inaweza kuwa kweli ndoto yangu ikatimia kwa sababu zifuatazo:
1. Salim. A.S hana kashifa yoyote kama viongozi wengine wanaotajwa kutaka kugombea
2. Kuchaguliwa kwake ktk CC kuna mpa nafasi kubwa.
3. Marais wa awamu mbili zilizopita wote wametoka bara hivyo sasa ni zamu ya ZNZ
naona mkuu bila ya kumtukana Mtume Muhamad (S.A.W) nafsi yako haijaridhika kabisa. Are you happy now?