Dk. Possi: Nimejiuzulu

Acheni kujitoa ufahamu! Kwani mbunge wa jimbo akijiuzulu kipindi kama hiki inakuwaje? Je jimbo lake litabaki wazi hadi 2020?
Sasa hapo nani kajitoa ufahamu wewe usiyejua unachochangia au wenzako wanao tema madini?
 
Kwa Afrika siasa sio maendeleo na ndio maana mtu yeyote asiye na sifa za uongozi na utawala anaweza kuwekwa akawa kiongozi na mtawala ili mradi tu kuonekane kuna kiongozi wakati hayupo. Watu kama hao uwepo wao ni sawa na kutokuwepo. Mbaya zaidi ni kwamba Afrika watu wanashinda kwa wizi wa kura na wananchi hawana uwezo wa kuchagua kiongozi hata kama wanapiga kura.

Jammeh must go.
 

Ni km kuendesha mgahawa wa chipss??
 
We usijidanganye huwezi kuwa na viwanda bila biashara (masoko),viwanda lazima vi integrate kilimo nishati etc huwezi kuzungumzia viwanda huku umejifungia ndani the issue inahitaji dimensions nyingi sana labda unazungumzia viwanda vya matofali
Tuna kiwanda cha chaki kule simiyu
 
Mkuu kama kuna mtaalamu wa katiba atusaidie, asiegemee upande wowote.
cc Paschal Mayala
 
Mmmh! Interesting.

Amebakiza chances ngapi za kuteua katika kumi alizopewa?
 
Ni Kama kakataa uteuzi hivyo idadi itapungua.
Uteuzi upi mkuu wa ubunge au wa ubalozi,,,,,huyo hapo hajakataa hata mmoja ila anakula pensheni kwa namna tofauti2 amepiga kwenye ubunge na sasa kwenye huo ubalozi
 
Kila anyeombea urais anataka na ana nafasi ya kuendesha nchi kwa utashi wake popote pale ulimwenguni acheni kudanganyana na videmokrasia vyenu vya darasa la nne!
Rais anaapa kuilinda na kuitetea katiba. Nchi haiendeshwi kwa utashi wa rais bali kwa mujibu wa sheria.. Ikiendeshwa kwa utashi wa rais ni udikteta.
Ukisema popote ulimwengu unajidanganya au kwa kujua au kutojua. Kwa arguments zako inaonekana wewe ndiye darasa la 4. Acha GT wajadili.
 
He heeeeeee Magamba hoyeeeee[emoji189]
 
Kazi ipo kuna watu wamesimamisha masikio kutetea pumba inaonesha katiba yetu imeandikwa kirumi ndiyo maana kuna watu wanashindwa kuisoma au ni ndefu sana kwa nini tusiifupishe ikawa hata na ukurasa mmoja tu ili hata wavivu wa kusoma wapate kuisoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…