Nawaeleza kila siku humu ndani. ..acheni ubishi tufanye biashara. .bali wao ni kulalamika na maandishi marefu na points zisizo leta mkate mezani. ...mitusi kibao. ..Tuendelee kuwa wachambuzi wakati wakenya na wahindi wanamiminika kuja kuanzisha viwanda. Hayo yote unayoyadai yanapaswa kufanywa na sekta binafsi kwani serikali ilijiondoa kwenye uzalishaji baada ya kuridhia SAP. Usitegemee serikali iwe na kiwanda chake kwa sasa.
Mkuu idadi itabaki vilevile kivipi wakati amejiuzulu? Idadi itapungua mkuu!! Chenga ya mmepigwa chenga ya mwili.Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
..
Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
JF ni kiboko kwa ufukunyukuAsema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
Mkuu unamiliki kiwanda gani hapo kwako? Acha uchizi wewe ngoja na wachina waje wagome kuleta viwanda 200 vilivyoadiwa tutakimbilia wapi maana nishati tu shida mnakera kishenziNawaeleza kila siku humu ndani. ..acheni ubishi tufanye biashara. .bali wao ni kulalamika na maandishi marefu na points zisizo leta mkate mezani. ...mitusi kibao. ..
Wewe nae huwa sikuelewi km magu tuDaaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......
Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........
Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................
Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
Labda tusaidiane kidogo. Bush aliposema Sadam ana silaha za nyuklia alikosea au hakukosea. Mwinyi alipompandisha Mrema kuwa Naibu Waziri Mkuu, alikosea hakukosea. Mkapa aliponzisha kampuni ilikiwa na anuani ya Ikulu alikosea hakukosea. Mseveni anapopandisha na kuwapa madaraka mkewe na watoto wake anakisea hakosei. Kibaki alipojiapisha ikulu harakaharaka baada ya kugeuza matokeo ya kura je.Daaaah kama Rais kwenye mambo sensitive kama haya anakosea .......
Sasa kwenye mambo madogo madogo si ndio kabisa jamaa ana waburuza..........
Kiukweli ni hatari kuwa na Rais asiyefuata katiba................
Mungu tu ndio anajua tunakoenda Kwa Sasa kama nchi.............
Hakuna appointment with replacement! Hakuna, legislature ingelikuwa na nia hiyo ingelitaja kabisa maana hilo sio jambo dogo kuwa mtu anakuwa na infinite number of appointees by way of replacement! Kuna watu watawajibishwa kwa kuvunja katiba, time will tell!Asema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
Hii serikali bwana kila siku ni teuzi nakumbuka mwaka uliopita Mourinho nusu aishushe daraja chelsea kwa sababu hana kikosi maalumu cha first eleven (hakujipanga)
Pamoja na pangua yote hiyo sijaona dalili za viwanda kama kuwa train watu(human capital) wala kufanyia utafiti wa masoko na viwanda vya bidhaa zinazohitajika na ni wapi?
Anatumia tight monetary policy ila inapingana na kanuni cha uchumi inflation iko juu na exchange rate na dolla inazidi kupanda (nina wasiwasi BOT hamna nyakati mbaya ambazo wamepitia kuingilia uhuru wao kama hizi) haiji akilini kwenye nchi changa kama yetu utoe amri ya billions of money zitumike kufanyia kitu fulani ukiwa jukwaani
Conclusion-nchi inaendeshwa sana na utashi wa mtu
Wacha apunguze mrundikano mjengoniAsema atakuwa na uroho kiasi gani kung'ang'ania ubunge.
Awasilisha barua ya kuachia ngazi kwa mamlaka husika.
Chanzo:Mtanzania
Swali:
Kikatiba, Mbunge wa kuteuliwa na Raisi akijiuzulu au kukoma kuwa mbunge kwasababu yoyote ile inayotambulika Kikatiba,idadi ya wabunge walikokwisha teuliwa na Raisi inapungua au inabaki pale pale?
Acheni kujitoa ufahamu! Kwani mbunge wa jimbo akijiuzulu kipindi kama hiki inakuwaje? Je jimbo lake litabaki wazi hadi 2020?[/QUOTEinaonekana hujaelewa, kwan possi ana jimbo? Mleta mada anamaanisha hadi sasa raisi amebakiza nafasi mbili, je kwakua possi amejiudhulu bado raisi ana nafasi mbili zile zile au zinarudi kua tatu?
Muombee yeye ni msema kweli[emoji28]Mkuu unategemea viwanda?
Muombee yeye ni msema kweli[emoji28]
Mkuu heri ya mwaka mpyaHii serikali bwana kila siku ni teuzi nakumbuka mwaka uliopita Mourinho nusu aishushe daraja chelsea kwa sababu hana kikosi maalumu cha first eleven (hakujipanga)
Pamoja na pangua yote hiyo sijaona dalili za viwanda kama kuwa train watu(human capital) wala kufanyia utafiti wa masoko na viwanda vya bidhaa zinazohitajika na ni wapi?
Anatumia tight monetary policy ila inapingana na kanuni cha uchumi inflation iko juu na exchange rate na dolla inazidi kupanda (nina wasiwasi BOT hamna nyakati mbaya ambazo wamepitia kuingilia uhuru wao kama hizi) haiji akilini kwenye nchi changa kama yetu utoe amri ya billions of money zitumike kufanyia kitu fulani ukiwa jukwaani
Conclusion-nchi inaendeshwa sana na utashi wa mtu
Salama kiongozi upo?Mkuu heri ya mwaka mpya