Dk. Possi: Nimejiuzulu

Still unaongea pumba sasa katiba si ilipigiwa kelele na TMK ikafanya kazi yake na watanzania wakaappreciate sasa nani kma sio lichama lenu hilo waliochakachua hyo katiba ??? Unalaumu wanamageuzi wakati nyie ndo mlivuruga mchakato mzima na huyo kibaraka wenu marehem sitta........ na katiba mpya si tumetaka mwaka jana pia huyo mwenyekiti wenu alijibu nni zaidi ya kusema ananyoosha nchi kwanni usimfate mkamshauri instead of kulaumu wapinznai wakati wanaoharibu ni magamba wenzio..... we jamaa ur insane
 

Oh, pole kumbe ndoa ya Mbowe inakuuma mpaka leo, pole sana, kumbe hukujua eeh, ndio hivyo bwana, conspiracy theories ni ujinga na watu vichwa vitupu kama mimi ndio huamini ndio maana sisi tuliokuwa tunasema kuwa USA wanapigana na Urusi Syria tulikuwa tunaota tu, na hata Donald Trump alipomwambia Obama kuwa ameshatandikwa na Urusi kule Syria nae alikuwa ni muota ndoto tu, ila nyie wafuasi wa uongo ndio mnaojua. Pole tena sana kuhusu ndoa ya Mbowe, sikudhamiria kukuumiza, imetokea tu bahati mbaya, usinichuie, usiniwekee kinyongo bado nakuhitaji sana katika mijadala, mawazo yako ni muhimu sana kwangu, naweza nisiwe nakubali hadharani lakini kuna mawili matatu najifunza kutoka kwako. Sisi kama taifa na wazalendo ni budi kukubaliana kujadiliana na hata kukubali kutofautiana na kupingana pasipo kupigana. Pole sana ndugu yangu, I am genuinely sorry!
 
Pale kifaranga anapookoa jahazi la jogoo lisizame, mkiendelea kumfichia makosa yake ataendelea kukosea tulieni aamue mwenyewe kuomba radhi.
 

Hhahahahahah, tumetofautiana kitu kimoja, muda wa kuidai katiba, kuna tulioidai siku nyingi sana lakini tukavurugwa na wapinzani waliotaka ruzuku ya vyama wakati ule.Ile ndio ilikuwa fimbo tuliyopigiwa kiasi kwamba hawa ninyi mnawaona wapinzani sasa kwangu ni vibaraka na ndio maana nasisitiza sana mjitahidi mdadisi na muwafahamu vyema. Maisha yao, elimu zao na kazi zao walizowahi kufanya na hata uhusiano wa nasaba zao na utawala. Mapenzi yasiwapofushe macho. Mwenyekiti wa upinzani anapewaje pesa na Kinana? Mwenyekiti wa upinzani anapewaje pesa na Mbunge wa CCM? Kilichotokea hapa na kinachoendelea sasa wapinzania wa kweli wanachekelea na kushangilia ccm ikiwadhibiti vibaraka wao kama ambavyo wao vibaraka walivyotumika kutudhibiti sisi. Ukiniita ccm sijali kwa kuwa nafahamu ninyi nakifanya, kwa sasa nahangaika na kutangaza kweli, ikikuuma nisamehe lakini sintosita na sintoacha kutumia kipawa chaangu kukuelimisha wewe na kukupa habari wewe na wengine, kama mimi, inawezekana muda mwingine tusikubaliane humu jf lakini tukibaki peke yetu na nafsi zetu kila mmoja wetu anaona uzito wa hoja ya mwenzake. Alamsiki.
 
Hii 'singeli' ilitarajiwa tangu awali kwa jamaa kutangaza kujiuzulu. Aibu sana kwa washauri wa raisi wetu
 
kijo bisimba bure tu hana lolote kazi yake kama fisi kusubiri mkono wa binadamu udondoke. kitu kidogo wote wanatoa mimacho wakati hakijakosewa kitu. wanatafuta kila kaujiko kuirushia maneno ya ovyo serikali ya jpm
 
HaaHahahaa imebidi nicheke tu ndo ya mbowe inanihusu nni?? Huyo magu wenu ameishi na kimada miaka mingapi unajua mbona sijaileta hyo mada hapa?? Hoja yanhu siku ile ilikuwa kuhusu SHERIA YA VYAMA pia katiba kwenye ibara ya 18 uhuru wa maoni..... sasa mkuu ukaacha kujadili hoja yangu ukaanza kutukana mbowe na ndoa yake sijui biashara sasa mie mpinzani wa kawaida tu nisie na uongozi wowote kwenye chama chochote unaacha kujibu hoja yangu unahamia kwa mbowe mie nikueleweje??? Sawa mbowe kapewa hela na kinana mie nimepewa?? Kma sijapewa bado na ninadai sheeia ifuatwe ili niwe huru kwenye majukwaa ya siasa na mimi unanijibu nini?? Kwanni kila hoja yangu unamuinhiza mbowe sijui seif as if mimi ni mfuasi wa mtu??
Anyway mie nlishakwambia sio mfuasi wa mtu na nlishakwambia nasupport mageuzi kokote yalipo maana ni fikra sio watu ndio maana kina galileo walileta hoja mpya wakauawa ila miaka elfu baadae wana wafuasi lukuki wa fikra zao ila yye mbona alikufa peke yake na mawazo yake?? Nachotala ujibu hoja zangu za mimi kma zitto junior ya mbowe na mwingine uyaache coz mbowe hta hela ya vocha hajawahi kunipa sasa why the hell kila mjadala wetu umuingize??? Hapo tu ndio unanikeraga mkuu
 
Ungeanza na Mbowe kwanza anayejitayarisha kuingia ikulu 2020,ingekuwa umefanya la maana sana.Kumkaripia Magufuli na kumuacha Mbowe,maana yake ni kuwa tutaendelea na haya haya hata kama ccm ikiondoka
 
Ok mkuu nikuulize kitu unakubaliana na majibu ya rais kuhusu mchakato wa katiba??
 
Mkuu acha mawazo ya conspirancy theory mie nshasoma vitabu na vitabu na kikubwa zaidi kinaitwa NEW WORLD ORDER cha ROY LIVESEY.. hiko ndio kikanifanya niamini kuwa everythin is planned hapa duniani BUT nkagundua watu wakiamua kukipinga hakitokei kuna nchi ambazo hta free masons sijui iluminati be it malctara hawajaweza kupenya je hizo nchi waliwezeje?? China cjui iran hii ya baada ya mapinduzi na north korea wangeamini hivyo wangekuwa hapo walipo leo??

Mkuu ukiamini sana conspirancy utaaminishwa hta dini zote ni zao la lucifer ila tukirudi kwenye reality dunia hii haiongozwi na watu wachache ila wanainfluence kma wangekuwa wanaongoza tu ilikuwaje henry kissinger atumie siasa kuingia kwenye serikali ya nickson?? Aliwezaje kuepuka WATERGATE scandal kwa mbinu za kisiasa kma kweli hao watu wachache wanaendesha dunia si wangemfanya kissinger aiepuke scandal hta kma kweli alikuwa na hatia?? Mkuu achana na cosnpirancy theory hizo huwa hazifanyiki ila zinatngenezwa so they actually dont work everytime so mada zetu hapa zijikite kwenye ukweli sio conspirancy

Kuna hoja hapa mlileta abt muungano eti chupa zilitupwa bahari ya hindi so hatuwezi uvunja yaani kabisa watu wazima tuache kujadili muungano kisa ya CHUPA MBILI ZA MCHANGA?? conspirancy theory zitakuchanganya kiongozi wangu trust me itakuwa kila kitu unakiangalia kwa muktadha huo kuliko uhalisia
 
Ndezi wewe waliyekuwe nyuma ya mlango kwa kujiona mzalendo katuni,nna elimu yangu ambayo inanifanya niishe nitakavyo ujinga wenu wa buku 7 na ufipa peleka kwenye Nyashimo msengerema wewe
Hahahaha vyote hivyo ni wewe. ..aisee. .Bye-bye
 
Ungeanza na Mbowe kwanza anayejitayarisha kuingia ikulu 2020,ingekuwa umefanya la maana sana.Kumkaripia Magufuli na kumuacha Mbowe,maana yake ni kuwa tutaendelea na haya haya hata kama ccm ikiondoka
Mbowe kavunja kifungu gani cha katiba ya nci au chama??
Hapa tunaongelea mambo ya RAIS KUKIUKA KATIBA YA NCHI mbowe anaingiaje hapa??

Jikite kwenye hoja sio majungu maana sio kila anemkosoa magufuli ni chadema au cuf kumbuka id fake humu ndio zinatumika
 
Mbowe kasigina katiba ya chama chake kwa kumfuta Sosopi dakika tano kabla ya uchaguzi na kumuweka KIbaraka wake Mchungaji Msigwa.Hii haipo kwenye katiba yenu,mambo haya yakiendelea mkichukua dola itakuwa hatari sana
 
Mbowe kasigina katiba ya chama chake kwa kumfuta Sosopi dakika tano kabla ya uchaguzi na kumuweka KIbaraka wake Mchungaji Msigwa.Hii haipo kwenye katiba yenu,mambo haya yakiendelea mkichukua dola itakuwa hatari sana
Weka hapa kifungu kilichovunjwa kma ambavyo tuliweka hapa kifungu alichovunja magufuli kwa tafsiri ya kiingereza..... nasubiri
 
Ikulu ni mzigo mzito mno , push up hazisaidii .
 
Ok mkuu nikuulize kitu unakubaliana na majibu ya rais kuhusu mchakato wa katiba??

Samahani sintokupa jibu la moja kwa moja kama nakubaliana nae au sikubaliani nae. Kwangu ni ndio nakubaliana nae na hapana sikubaliani. Nakubaliana nae kwa kuwa wenzetu walituangusha na kutusaliti wakati tulipokuwa tukiiidai na kuhatarisha maisha yetu.Hali ya siasa haikuwa kama hivi ilivyo leo japo vijana bado mnalalamika, hali ime improve sana. Sikubaliani nae kama vitu vingine vingekuwa constant, tungekuwa na wapinzani wa kweli na umma ulioelimika na unaowajibika vilivyo na mchakato wa katiba ungekuwa unafuta taratibu za utungaji katiba sio huu wa bunge maalum la ktaiba la kuchukua wabunge wote na watu kadhaa wengine kwa utashi wa rais kutunga katiba. Huko ni kutwanga maji kwenye kinu, yaani ni kutagemea mtu wa ccm ayakane maslahi yake na lengo la chama chake ambalo ni kushika madaraka. Hilo haliwezi kutokea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…