Dk. Malasusa, hali bado tete

Siyo kweli hizi ni tuhuma tu,mtu yeyote anaweza kutuhumiwa na ikaonekana kweli
 
Hakuna lolote mkuu,dayosisi hii inaongoza kwa mapato mkuu,hizo sarakasi unazoziskia ni kugombania ulaji na madaraka tu.
Ooh samahani. Nilifikiri ni kanisa kumbe kampuni inayoshindanishwa kwa kipato? waache wazigombanie hizo fweza mwenye kisu kikali ndie atakaebaki kuzila.
 
Si huwa mnasema wakioa hawawi wazinifu km mapadre wasooa vp sasa,
 
Ila yale Makombora ya Lowasa yalikuwa makali mno mpaka hata siamini kama Lowasa kamsamehe Kubenea atakuwa anacheka jino pembe anasubiri muda muafaka ufike ili amshugulikie kama Dr.Slaa
 
Kwa Dayosisi ya Mashariki wa Pwani....Wenye kuitunza madhabahu ya bwana ni wawili tu! Kimaro ...wa kariakoo na Mastai wa Kimara...hawa wengine watajuana na Muumba wao kama alivyosema ISAYA.
 
Tukikuita mahakamani uthibitishe uzinzi wa MALASUSA uko tayari? Au umeziamini Porojo za MWANAHALISI?
 
ambae hajawahi kukosea aendeleze ushabiki huu !
 
Chumvi ikishabaribika itatiwa nini ili ikolee. Tuna shida kubwa kwenye makanisa ya kiptotestant hatuna stability kabisa. Hivi ushasikia vibweka kama hivi kwa Pengo. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa mcha mungu na anayejiheshimu
Huyu naye si aachie ngazi
vi
 
Jamani Tuacheni unafiki kama Anasingiziwa S Aende Mahakamani au kuna ukweli kuhusu hili Maana hili jambo halijaanza Leo
 
Chumvi ikishabaribika itatiwa nini ili ikolee. Tuna shida kubwa kwenye makanisa ya kiptotestant hatuna stability kabisa. Hivi ushasikia vibweka kama hivi kwa Pengo. Kiongozi wa dini anapaswa kuwa mcha mungu na anayejiheshimu

vi
Huko kwa wakatoliki ndoo usiseme kabisa. Jimbo moja lilifilisika kwa kulipa fidia ya watoto wa kiume waliotendewa ushenzi na makasisi. Hapa kwetu ndio kina kilaini na kina chenge Tibaijuka(esrow ) lao moja, na bado hawakuachia ngazi.
 
mbaya zaidi kazini na mke wa mtu tena mchungaji
bora hata binti tungeona ni tamaa.
huu ni uzinzi wa hali ya juu
 
kumbe nilikuoverestimate,nilikuwa nafikiria wewe ni padre.
Kumbe uko kkkt,mzee wa kanisa
 
Sasa kama ni Kwa SIRI mlijuaje Malasusa ni Mzinzi? Ndio maana nasema Kichambio kinachoitwa MwanaHalisi ni Wazushi, wanafiki, wazandiki na Wala rushwa wakubwa!
Kama ungekuwa umefuatilia tangu likipoanza ungegundua kuwa mwenye mke ndio aliyegundua mahusiano na sio sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…