Dk. Magufuli ni muadilifu, mchapakazi na mfuatiliaji tunamuamini

Sep 5, 2015
80
73
along toure road near sasatel offices 4x8.jpg
 
Magufuli ni Chaguo langu kwani nimemuona akifanya kazi, historia yake inajieleza ni kama waswahilo wanavyosema kua kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Magufuli ambekua chema,Watanzania wanataka mtu atakaewafanyia kazi kwa moyo wa dhati na atakaye waletea maendeleo. Hivyo nitamchagua magufuli ili niipate tanzania mpya
 
Kweli kabisa Magufuli anasifika kwa uzalendo, utendaji kazi, uadilifu kwa maagizo aliyopewa kishelia. Chagua Magufuri chagua CCM
 
Tanzania nchi yangu, CCM chama changu, Magufuli ndio kura yangi na baada ya kuapishwa atakua ndie Rais wangu. Sababu ya kumchagua ni kwa vile ni mchapakazi, muadilifu, mfuatiliaji, na huyu ni aina ya kiongozi ambaye tunamtaka kwa sasa. Tunahitaji kwenda mchaka mchaka wakati wengine wanatembea
 
maghufuli huyuhuyu aligawa nyumba za serilali mpaka kwenye nyumba ndogo? au kuna mwingine?
 
MAGUFULI ni madilifu Wa nini?yule mrsX Wa kebby hotel?MAGUFULI mwadilifu Zile Nyumba alizogawa mpaka kwa jamaa zake? MAGUFULI mwadilifu? Ile MV.DAR chakavuu aliyonunua sh bill.9 Na imepaki no mbovu?MAGUFULI mwadilifu Hasara ya Bilioni 900 za Makandarasi Hana uandilifu wowote ndio walewale Vipi Janet bado kasusa?
 
Uadilifu wa Magufuli unapatikana kwenye nini? Kuuza nyumba za serikali? Kuwa mistreat wakandarasi? Kuiba bilions, kujenga barabara chini ya kiwango? Kujenga Kanisa kijijini kwao kaa pesa ya serikali? Mna mtindio nyie sio bure
 
ukitaka kupatia kwa kuwa ni kampeni weka kila kashfa ulizotoa against zile za lowasa.
Mfano kaiba billions vs Lowasa ambaye hajaiba hata shilingi 1, kawamistreat makandarasi vs Lowasa ambaye alikuwa anawapa promotion wafanyakazi wake wote etc!
Nadhani ukiziangalia hizo dhambi ulizoziweka kwa Magufuli ukizitama kwa upande wa Lowasa unaweza kwenda kutubu kwanza kwa padri wako, au ukaswali lakaa 2 msikiti kuomba msamaha kwa Mungu kabla hujaacha kuchepuka na kurudi ccm!
 
Makandarasi ameshawalipa?
Mmmeshamuambia afuatilie kuhusu kile kivuko kiendacho Bagamoyo?
 
Aliwambia watanzania wapige mbizi hafai kupewa madaraka atawaonea wanyonge mfano kigamboni lami haijengi na mavi hafai.ccm ni sumu
 
Kazi ya kwanza ya Pombe ni kufuta malipo kwa former PM ambao ni failures. Then kuwashughulikia mafisadi papa wanaogawa peremende kwa raia ambao hawajakwenda shule then kumpeleka Jambazi Sugu Monduli kuchunga ng'ombe.
 
Back
Top Bottom