Dk.Magufuli ahudhuria mazishi ya Fidel Odinga

Dk.Magufuli ahudhuria mazishi ya Fidel Odinga

Magufuli anapenda sana promo kila alipo na camera.

Kuna misiba mingapi na ajli za mabasi hajawahi kuhudhuria?

Watumishi wangapi wizaran kwake hajawahi kuwepo.?

Huu ni ufisadi wa aina yake anaufanya Kenya na Odinga family. achunguzwe.

Magufuli amewakilisha serikali ya Tz
 
namuona mh magufuli anatoa salam za rambirabi kutoka bongoland
 
ImageUploadedByJamiiForums1420882392.595117.jpg
Naona hapa Magufuli anamwaga wosia
 
Namwona Dr. Magufuli ndo anaongea sasa akifuatiwa na Shangirai kutoka Zimbabwe.
 
magufuri ka deliver msg ya kutoka kwa JK na Ben mkapa..
magufuri ni Rafiki ya hii familia
 
Mbowe hajaja huko?

Nashangaa mbowe kutoonekana.Maana chaguzi za Tarime huwa lazima Mbowe aagize wajaluo mamluki toka kisumu kwa odinga ili kuongeza kura Tarime.

Walimsaidia wakati ule kupata helikopta za kampeni kwa matajiri wa kijaluo kenya.Baada ya kuwa nazo zao na akina ndesamburo kamshiti Raila.

Kamtumia kama tambala la kudekia kambwaga.HAENDI HATA KWENYE MAZISHI YA MWANAE.
 
Odinga anapita njia nyembamna sana kuliko hata ile iendayo peponi..pumzika wewe mzee wa ma party fidel odinga aka obange
 
Naangalia LIVE kupitia KBC, tukio la kumuaga mtoto wa Laila Odinga.
Kilicho nitisha ni jinsi msiba ulivyo wa kikabila! Kila anae enda kuhutubia anahutubia kwa kabila la Odinga. Mwakilishi wa Uhuru Kinyata amezomewa mwanzo hadi mwisho wakati anasoma salamu za rais Kenyata, nmeshuhudia maafisa wa usalama wakimzingira ili wanachi wasimshambulie. Imemlazimu Laila Odinga kusimama kutuliza hali bila mafanikio mpaka alipo maliza kusoma.

Hali ya ukabila Kenya inatisha ndugu zangu!
 
Ndiyo tunakoelekea si umeshasiki huu usemi: "Raisi ajae asitoke kaskazini".

Tanzania udini hauwezi kutusumbua kwani tumechanganyika sana, baba yako mdogo mwislam, mara wewe mkristo ila dada yako kaolewa na mwisla, sasa utamuuwa? Kwenye swala la ukabila liko dhahiri! Wala uuhitaji kusimuliwa
 
Mhh jamaa anasimama anaasema waluo ni watchman,assistant officers anasema huwezi kuta MD ,CEO mluo if DAT is true ndo maana hivi nchi haina usalamaa
 
Back
Top Bottom