Dk.Magufuli ahudhuria mazishi ya Fidel Odinga

Dk.Magufuli ahudhuria mazishi ya Fidel Odinga

Inasikitisha sana......! Hivi taarifa kuhusu sababu ya kifo cha Fidel zimetolewa?!
 
Inasikitisha sana......! Hivi taarifa kuhusu sababu ya kifo cha Fidel zimetolewa?!

mkuu uchunguzi Wa awali ni bila bila.familia unasema watatuma sample ujerumani kwa uchunguzi zaidi...
ukizingatia kuna MTU alijitokeza na kusema yy ndio kamuuwa Fidel,
huyu jamaa ni mfanya biashara maarufu, police wanasema kachanganyikiwa.
hahaha siasa za Kenya nazipenda sana
 
Kama kila kitu ni ufisad bas watu watakua hawali, kama ni rafiki yake lazima msiba umhusu tufikir kiutu zaid tuache unafiki
 
Heshima mbele wakuu!

Ninaangalia ibada ya mazishi ya mwane Raila Odinga Fidel Castro Odinga kwa mbali namuona ndugu Jonh Pombe Magufuli amekaa pembeni mwa Morgan Changirai wa Zimbabwe!
Urafiki wenu ni nzuri.

Hilo jina la ubin la Morgan siyo Changirai bali ni Tsvangirai!!
 
Ingependeza sana ikiwa vyama vya siasa vya Tz,hususani vinaovyounda UKAWA,kama viongozi wake wakuu wangehudhuria/kuwakilishwa.Raila Odinga anahitaji kufarijiwa,amepitia mazito mengi,na ili kutokomeza 'umafia' wa Serikali tawala ni lazima wapinzani wa East Africa washikane mikono.Vinginevyo..:/
 
Back
Top Bottom