ndugu... wengi wetu huwa ni vigumu kubadilika hulka au tabia zetu...fundamental character which defines us lies deep inside us and once u get few mins to have a deep reflections of yourself and close friends around you then wiill be in position to realise that. niliposema jamaa ni mnafiki sio jambo baya ni tabia yake tu na unajua unafiki una sehemu ya msaada katika jamii yetu. tungekuwa na jamii yote au viongozi wote ni wawazi wapo very transparent ,pasingekalika.
wengi tuna sehemu/percent fulani ya unafiki lakini sio sehemu kubwa ya matendo yetu.
jiangalie na utaliona hilo...sehemu za kazi , mitaani na maeneo mengi.
makala ya kitila inaonyesha hilo najaribu kuwa balanced ktk wale wanaomuunga mkono zitto na wanaomshutumu lakini ndani zaidi utafahamu linajichomoza suala la yeye kutoweka wapi msimamo wake halisi...mnafiki huwa hana msimamo wa dhati ,huwa anajaribu kupendezesha kila upande.
na unafiki mwingine nikkukumbushe pale alipotoa makala kwenye raia mwema inayoelezea msuguano kati ya mkiti na makamu mkti wa bavicha...alitoa makala isiyo na umuhimu wakati yeye ana nafasi ya kutoa ushauri ule ndani ya vikao vya chama. sasa kwanini akaanika wakati ule ushauri wake kwenye makala ya gazeti?
jenerali ulimwengu aliwahi kuandika siku za nyuma kuwa wengi wa rafiki zake wakikutana na kubalishana mawazo,alikuta hata kama wamepoteana miaka 10,20,30 tangu enzi za shule au kazi...wengi hulka na tabia zao ni zile zile....watabadilika tu kwa ongezeko la mwwili au ndevu au mvi lakini tabia za ndani nyingi ni zile zile...kama mtu ni introvert/extrovert/hypocrite/transparent/mean/sadist ataendelea kuwa vile vile.
nikupe mfano zaidi...kuelekea uchaguzi wa mwaka 2005...Ben R Mtobwa aliaandika kitabu fulani hivi kuhusu J.K
akatoa hadithi kidogo za J.K za kule msoga....akamnukuu mzee mmoja wa kijiijjini pale akisimulia jinsi ambavyo wakati ule JK akiwa mtoto katika michezo ya kuwinda porini ,ukigombana naye hata kama itapita wiki au muda kadhaa, atakutafuta na kurevenge. ama kama ulimpiga,atakupiga pia. mfano huu kwanini aliutoa? labda hakushtuka kama sio kitu kizuri cha kuandika lakini aliandika kwa sababu aliona it is worthy of story sababu watoto kawaida wakigombana baada ya masaa au siku moja hilo linapita au linasahaulika ...lakini si kwa mtoto JK ,,,NDIO MAANA akaona hio ni stori.
sitaki nikuulize swali kuwa JK katika utu uzima wake amebadilika.
have a reflection.