Dk. John Magoti na mr. Lwambano mchunguzwe,mmekiua chuo cha kumbukumbu ya mwalimu Nyerere

Wadau haya bado yapo kweli kwa sasa?
WANAJANVI SALAM?

Namasikitiko makubwa juu ya chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere cha Kigamboni ambacho kwa ukweli mimi kama mtu wajirani na chuo hiki yanayotokea yananipa mashaka endapo katika serikali ya rais Kikwete kuna watu makini katika kusimamia elimu yetu.

Huyu mkuu wa chuo alishawahi kufungiwa mlango na watumishi miaka kazaa nyuma na akanusuriwa na mzee kingunge Ngiombare Mwiru.

Alistaafu akapewa miaka mitano akamaliza akapewa tena miaka miwili hadi feb 2014, sasa kunataarifa kuwa kaomba kujiuzuru haraka oct 2013 pamoja na Mkt wa bodi DK SALI A SALIM baada ya kuona moto unawake kila kona.

Moja; Magoti anatuhumiwa yeye na MR Lwambano kula zaidi ya Tsh milioni 300 za fedha ya gharama ya wanafunzi ya matibabu

Yani walichangisha pesa kinyume na agizo la serikali LA MWAKA 2008

Serikali iliagiza tangu mwaka 2008 kuwa mwanachuo au sekondari aliejiunga na bima ya afya Hatotozwa tena gharama ya matibabu na taasisi za umma na taasisi hizo zijiunge na bima ya matibabu

DK MAGOTI kwa njia za panya akaanzisha mchango wa matibabu wa shilingi laki moja kila mwaka kwa kila mwanazfunzi na kwa mwaka alichangisha zaidi ya milioni 150 kwa wanachuo waliokuwa takribani 1500,mchango huo ulidumu kwa muda waamiaka 3 hadi 2013 kutokana na kitumbua kuingia mchanga mara baada ya mwanachuo aliekuwa akisoma chuoni hapo kwa wakati huo ABUBAKAR ASENGA .D kuwasha moto wa kukataa kulipa gharama hizo na hatimae aliondolewa chuoni kwa kusimamishwa miezi 3 na kesi hadi sasa inaendelea ambapo chuo kimeshatumia zaidi ya milioni 10 kumlipa wakili wakuhakikisha mwanachuo huyo arudi chuoni hapo.

Magoti akaweka tangazo kuwa atarejesha pesa zote za wanachuo ambazo amezichangisha weye bima za matibabu ,jambo ambalo hajafanya hadi sasa, na wanachuo wengi wameshamaliza chuo na wako tangu miaka 3 nyuma, atarudishaje pesa hizi na hizi pesa zimetumikaje mana nasikia imebaki laki 6 tu?

Nani anazikagua? Wakati zahanati hapa chuoni inapewa ruzuku ya dawa na tabibu analipwa na serikali.
Hadi sasa wanachuo ambao hawana bima (na chuo hakitaki kuanzisha huduma hiyo chuoni) wanatakiwa kulipa shilingi laki moja kila mwaka, mwanachuo aumwe au asiumwe lazima aliepe na gharama hizo ni kwa zahanati ya chuo tu inayofungwa saa 10 jioni na tabibu ni huyo mmoja tu.

Mwanachuo akipewa rufaa ni kwa gharama zake,baaada ya malalamiko sasa Magoti kaamua eti mwakachuo akizidiwa zaidi atapelekwa Burhani hosp ambapo ameingia nao mkataba wa kifisadi pia.

Kila kitu huyu mzee anaamua mara baada ya kushauriwa na huyu bwana Lwambano ambae ndie anaonekana kumiliki utajiri wa Dk Magoti.

Kumbukeni huyu Lwambano ameajiriwa chuo cha Nyrere mara baada ya kufilisi kiwanda cha kahawa Moshi, na ameajiriwa akiwa na miaka 40 kinyume na taratibu za serikali.

Anafanya kazi zaidi ya tatu hapa chuoni,msajili,mhadhiri,msimamizi wa zabuni,msimamizi wa rasilimali watu na kadhalika.

Mara zote huyu bwana Magoti, alikpokuwa akiandikwa hapa mtandaoni na ufisadi wake alikuwa akitetewa na bwana mmoja anaejulikana kwa jina la Mabuba ambae ni memba wa sikunyingi humu ,na ni mfanyakazi hapa chuoni.
SASA MABUBA NAE YAMEMKUTA NA KAMA YUMO HUMU ASEME KWELI HAPA

Alikuwa afisa wa mitihani, akaamuriwa aweke somo la mtihani kwenye ratiba kinyuime cha taratibu kwa kuwa somo lilikuwa jipya na halikuwa kwenye mpangio wa mwaka, alikataa na siku ya mwisho, Magoti aliingia ofisini kwa Mabuba na kutunga mtihani,kuchukua karatasi za majibu na akaenda kwenye chumba cha wanachuo wanaotakiwa kufanya mtihani na kuwasimamia yeye mwenyewe kwa kuwa alitangaza somo hilo kuanza kufundishwa pasi na marekebisho ya kanuni wakati bwana Mabua alisema endapo somo hilo litafanyika basi atajiuzulu nafasi yake

Mabuba sasa AMEACHIA OFISI,ameelewa ukweli na uzalendo umemshinda akaamua kuachia nafasi na akaondolewa na kuteuliwa mtu mwingine ambae kwa kweli nikichekesho mana wanachuo imebidi wapate matokeo yao kwa njia ya kusoma kwenye matangazo kwenye ubao,,kwa kuwa hakuijua ofisi wala hakupewa semika ni kama kawaida ya Magoti ya kuhamka asubuhi na kusema wewe ndiwe utakuwa afisa mitihani na unakuwa.
NI DIKTETA MKUBWA.

Pole Mabuba, ukweli haupendi kupuuzwa puuzwa maana lazima udhihiri.

Tatu; WATUMISHI HAPA CHUONI SASA hawapati allowance yeyote ile ikidaiwa hakuna pesa na pesa zilienda kujenga nyumba ya kukaa wanafunzi katika tawi la chuo cha zanzibar kinyume cha taratibu.

Chuo hakina fedha chuo ambacho kilikuwa kinakaribia idadi ya wanachuo 2000 miaka miwili iliyopita sasa walioomba kujiunga na chuo hawafiki 200 na kunahati hata wasiwasili wote, sasa chuo hakifikishi jumla ya wanachuo 1000
WAZIRI MKUU PINDA NJOO KWA ZIARA YA GAFLA HAPA CHUONI AMURU UZUNGUMZE NA WAFANYA KAZI BILA MAGOTI NA MR LWAMBANO KUWAPO,,,,,TUKWAMBIE MAMBO ZAIDI YA YALE YA MWAKA JUZI ULIPOKUJA NA KUKUTA UFISADI ULIOKITHIRI CHUONI.

HAPA CHUONI kulikuwa na mkuu wa idara ya maktaba huyu bwana ni Mmasai hakutaka mchezo aliletewa orodha ya vitabu 5 vilivyonunuliwa kila kimoja shilingi laki saba wakati vinauzwa shilingi elfu arobaini kariakoo, akapandisha mori na kwenda kwa Magoti,alipofika akaambiwa alaa kumbe unakiherehere na wakubwa WA NCHI HII…..
basi utaisoma namba, huyu bwana Mmasai ana first class degree katika mambo ya maktaba na aliajiriwa akiwa na diploma mpaka sasa ajatambuliwa wala kupandishwa cheo, wenzake wanapanda tu yeye kila mwaka anaambiwa bajeti si ya Wamasai

Mkt wa bodi ya chuo hiki ni DK SALIM AHAMED SALIM, DK HUYU ANAMAJUKUMU MAZITO YANAYOMPA NAFASI MAGOTI KUFANYA ATAKACHO kwakuwa hakuna mtu wakaribu kumfatilia.

ALICHUKUA MAGARI YA SERIKALI KWENDA KUTOLEA POSA YA mwanae Musoma na kushiriki kwenye harusi Arusha KAFANYWA NINI?

Lwambano kila kukicha anachukua magari ya serikali chuoni na kwenda nayo Rufiji kwenye shamba lake,
LWA MBANO SASA ANAMILIKI MAFUSO ZAIDI YA 7,EXTRIAL GARI YA KUTEMBELEA NA JUZI AMENUNUA PRADO NEW MODEL AMEIPAKI CHUMBANI NYUMBANI ANAPOISHI NA AMEIJENGEA UKUTA akifanya mpango wakubadili hati kuandika jila la nduguye.

Kila mara anawalingishia wafanyakazi wenzake kuwa yeye amejijenga vya kutosha na yupo tayari kwa chochote.
Mambo ya Magoti yalimkuta pia aliekuwa makam mkuu wa chuo Mr Mushi na kukataa kuongezewa mkataba na badala yake kuwa mwalimu wa kawaida,siku ambayo Mushi alisema hivyo haraka bwana Magoti akamteua mtu wake ambae yeye hajui kusema hapana bali NDIYO TUU anaitwa Mr Lunyelele kuchukua nafasi kabla ya bodi kuamua.

Sasa Lwamabano anapesa kuliko chuo, Juzi ameikopesha SACCOS YA wafanyakazi wachuo na yeye ndie anatembea na makabrasha ya saccos.

BWANA MAGOTI SIKU AKIKUTANA NA WANACHUO KUZUNGUMZA NAO,HOTUBA ZAKE NI MAARUFU KWA KUANZA HIVI, "NDUGU WANACHUO KAMA KAWAIDA HAKUNA MASWALI H APA",ANAHUTUBIA ANAONDOKA
NAULIZA HIVI DK MAGOTI AMEKINUNUA CHUO CHA MWALIMU NYERERE?
MAANA CHUO SASA KINAITWA CHUO CHA KUMSAHAU NYERERE

Alimuajiri shemejie amabe alisomea vyeti vya mtu akiwa na diploma na kumsomesha hadi Phd bwana MHAGAMA,kilipo waka likawekwa tangazo eti ameamua kuacha kazi kwa hiari.

Sasa hapa chuoni bwana Magoti amemuajiri ndugu yake anaeitwa Mr KIOI,huyu bwan pia ameajiriwa chuo cha DIT suala ambalo nikinyume cha taratibu za serikali kwa mtu kuwa na ajira mbili rasmi ndani ya taasisi za serikali,utashangaa wakati Magoti ni mkubwa ktk nchi hii anatishia kila mtu,

HUYU NDIE DK MAGTI WA KWENYE PICHA HII
 
Mmbea sana wewe!
MALALAMIKO JUU YA MENEJIMENTI YA CHUO CHA KUMBUKUMBUKU YA MWALIMU NYERERE

MALALAMIKO JUU YA MENEJIMENTI YA CHUO CHA KUMBUKUMBUKU YA MWALIMU NYERERE


1. SHERIA YA UANZISHWAJI CHUO


Mh. Waziri Mkuu, sheria iliyopo ya uanzishwaji wa chuo inamapungufu kadhaa, ambayo yanatakiwa kufanyiwa marekebisho. Mapungufu hayo ni:

i. Sheria haitaji sifa za mkuu wa chuo aweje
ii. Sheria haitaji sifa za Makamu Mkuu wa Chuo
iii. Sheria haitaji sifa za Msajili wa Chuo
iv. Pia sheria inapigana na taratibu za NACTE ambazo zinataja uwepo wa Rector, Deputy Rector Academic, Deputy Rector

Adminstration.
v. Sheria Haitaji ukomo wa Msajili (registrar) imeiachia Bodi na Mkuu wa chuo suala la kuamua muda wa Msajili.
vi. Sheria inamtaja msajili kama Katibu wa kamati ya taaluma wakati yeye hahusiki na mambo ya taaluma.
vii. Kazi za kamati zifuatazo Human Resource Development and Disciplinary Committee, Finance and Planning Committee and Students' na Disciplinary Appeals Committee hazitajwi na sheria, tofauti na kazi za kamati ya taaluma ambapo kazi zake zimetajwa.

Mh. Rais tunakuomba sheria hii ya uanzishwaji wa chuo ipitiwe upya ili kukidhi matakwa ya sasa na kuleta ufanisi wa kazi kwa ujumla. (P.T)

2. UWAKILISHI WA WAFANYAKAZI KATIKA BODI YA CHUO


Pamoja na sheria kusema kuwa kutakuwa na uwakilishi wa Wafanyakazi (The Mwalimu Nyerere Memorial Academy Act, 2005 Ibara 6:1 (D Na G) katika bodi ya chuo, Mkuu wa chuo amekuwa akimdanganya Waziri kwa kumpatia mapendekezo ya majina ya wanataaluma na wafanyakazi kwa ujumla, ambao sio wawakilishi halali.

Suala

Mhe. Rais tokea mwaka 2006 Bodi ya Chuo hakina wawakilishi wa wafanyakazi bali wawakilishi hao huteuliwa kutokana na matakwa ya Menejimenti, hivyo kufanya mawazo ya wafanyakazi kutowasilishwa kwenye bodi.

3. VIKAO VYA WAFANYAKAZI

Mh. RaisTokea Mwenyekiti wa Bodi ateuliwe kwa muda wa miaka 8 sasa hajawahi kufanya kikao na wafanyakazi. Suala hili limesababishwa na Menejimenti ambayo kwa hakika imekuwa ikimficha Mh. Balozi ili kwa kumdanganya kuwa mambo yanaenda. Hii imesababisha Mkuu wa Chuo kufanya vikao vichache vyenye kututisha wafanyakazi na hivyo kushindwa kutoa mawazo yetu.

4. MALENGO YA CHUO

Mhe. Waziri Mkuu Kutokana na sheria ya chuo, Chuo kina malengo kumi na moja (11) kama ifuatavyo:
a) To provide facilities for study and training in social sciences, leadership and continuing education;
b) To conduct training programmes in the disciplines specified in paragraph (a);
c) to engage in research and development in the disciplines specified in paragraph (a) and to evaluate the results achieved by the Academy training programmes;
d) To provide consultancy services to the public and private sectors in specified fields as prescribed in this Act;
e) To sponsor, arrange, facilitate and provide facilities for conferences, symposia, meetings, seminars and workshop, for discussion of matters relating to social sciences, leadership and continuing education;
f) To conduct examinations and grant awards of the Academy as approved by the National Council for Technical Education;
g) To arrange for publication and general dissemination of materials produced in connection with the work and activities of the Academy;
h) To engage in income generating activities for effective financing and promotion of entrepreneurship;
i) To establish and foster close association with the Universities and other institutions of higher education and promote international cooperation with similar institutions;
j) To do all such acts and transactions as are in the opinion of the Governing Board expedient or necessary for the proper and efficient discharge of the functions of the Academy;
k) To perform such other functions as the Minister or the Governing Board may assign to the Academy, or as are incidental or conducive to the exercise by the Academy of all or any of the preceding functions.

Mh. Rais,
kati ya malengo hayo juu ni lengo malengo a, f na J kidogo yameweza kufanyiwa kazi. Lakini malengo mengine yote hajawahi kufanyiwa kazi tokea chuo kianzishwe mwaka 2005. Mh. Raisnaomba ufanyie uhakiki haya tuandikayo juu ya malengo. Chuo kimebaki kuwa kama sekondari, hakuna tafiti zinazofanyika wala ushauri wa kitaalamu unaoendelea.

5. MISHAHARA YA WAFANYAKAZI

Mh. Raistunapenda kutoa masikitiko yetu juu ya mishahara ya wafanyakazi. Kumekuwa na tatizo kubwa la ongezeko la mishahara ya wafanyazi wa kada zote, wafanyakazi wamekuwa hawapandishwi madaraja kulingana na stahili yao. Mshahara unapandishwa ni ule wa ongezeko la litolewalo na serikali, lakini annual increment kwa wafanyakazi haipo kabisa. Hili limepelekea wafanyakazi wanaoajiriwa siku za karibuni kulingana mishahara na wafanyakazi wa zamani.

Mhe. Makamo wa Rais suala hili linafanyika makusudi kabisa ili kuwakomoa wafanyakazi, hatuwezi amini kuwa utawala hawajui juu ya suala hili. Hivyo tunaomba ulifanyie kazi pia.

6. AJIRA ZENYE UTATA

Mh. RaisKumekuwa na ajira zenye utata kwa wahadhiri watatu (3), utata huu umefanywa na msajili sio kwa bahati mbaya, bali kwa maslahi binasfi.
a. Ajira ya Ndugu Ernest Luambano: Mh Waziri Mkuu Ndugu Luambano aliajiriwa na chuo mwaka 2004 akiwa na miaka hamsini (50) akiwa kama afisa tawala. Ajira yake ilikuwa ni ya mkataba wa miaka 4, hivyo muda wa mkataba wake ulikuwa uishe mwaka 2008. Lakini mwaka 2006 kwa kushirikiana na mkuu wa chuo walirudisha umri wa Luambano nyuma yaani akaonekana amezaliwa mwaka 1959, basi kuandika tarehe. Baada ya kurudisha umri nyuma wameficha mafaili ya ajira yake ya mwanzo ya mkataba na kufanya au kuingiza mwaka 1959 kama mwaka wake wa kuzaliwa, hivyo kuonekana kwamba aliajiriwa akiwa na miaka 44 au 45.

Suala hili ni kinyume na taratibu za ajira katika ofisi za umma kama inavyoelekezwa na standing order ya mwa 2009;
D.33 Appointment on Contracts:
(1) A candidate appointed to a pensionable post in the public service on non-pensionable terms, or to a non-pensionable post, shall be required to enter into a contract (on gratuity terms) specifying the terms of his employment as provided for in Appendix D/V. Contracts on gratuity terms, which shall be the normal form of engagement in such cases, provide for the payment by Government of a gratuity at a prescribed rate on satisfactory completion of the contract.
(2) Under special circumstances, certain persons may be engaged in the public service to serve on contract terms. These shall include:
(a) a non-citizen who is engaged for some projects or on expatriate requirements;
(b) a citizen from outside the public service who is engaged to the Service under expatriate or consultancy requirements;
(c) a retired public servant who has been re-engaged in the Service; and
(d) a citizen who is first appointed to the Public Service after he has attained the age of 45 years.
(3) Where it is in the opinion of the appointing authority that a public servant be re-engaged on further terms of contract, the appointing authority shall notify the Permanent Secretary (Establishments) who shall forward to the Chief Secretary with recommendations.

D.34 Completion and Renewal of Contracts:
(1) The Chief Executive Officer shall inform the public servant three months before the expiry of the contract, whether or not he wishes to re-engage him for further period of service. Similarly the public servant serving on contract shall notify his Chief Executive at least three months before the engagement is due to expire whether or not he wishes to be re – engaged, for a further period of service.
(2) Approval of the Appropriate Appointing Authority to be sought: On receipt of the notification referred to in paragraph (1), the Chief Executive Officer shall forward his recommendation regarding the re-engagement of the public servant concerned to the appropriate authority for approval.
(3) The Chief Executive Officer shall not initiate or seek the approval of the re-engagement of a public servant in contract unless:-
(a) There are special resources and arrangements of training of counter parts and successors in such post; and
(b) There is a special provision in the contract obliging the employee in contract to impart his knowledge to the counterparts and successors.
(4) Re-engagement of a contract employee without consideration of the requirements under paragraph (3) shall only be made by an approval of the Chief Secretary.

D.39 Age of admission to a Pensionable Establishment:
Appointments to the pensionable establishment shall be restricted to persons of and below the age of 45 years who would be in a position to complete the fifteen years' service required to qualify for the grant of a pension on reaching the compulsory age of retirement. There shall be special circumstances which may justify variations in the application of the general principle, and such cases shall be submitted for consideration of the Permanent Secretary (Establishments).

Katika suala hili, bodi ya chuo ilidanganywa na Mkuu wa chuo kwa makusudi ili bwana Luambano apate ajira ya kudumu. Hivyo Mh. Dr. Salim hajui lolote juu ya hili kwani alidanganywa.

Tunakumba Mh, ufanyie kazi hili suala kwa haraka, kwani Msajili amekuwa tatizo katika taasisi, ajira zote zinazofuata hapa nchini yeye ndiye mhusika mkuu wa kuzitengeneza. Kwasababu na yeye amegushi. Wafanyakazi hatutakubali kuendelea kufanya kazi na mtu ambaye amegushi umri, lakini pia akikabiliwa na tuhuma lukuki za ufisadi.

Hivi sasa Mkuu wa chuo na Msajili wanahaha kuficha ukweli wa mambo kwa kutengeneza na taarifa mbalimbali na kupoteza ushahidi juu ya hili, lakini ni tumaini letu kuwa serikali ina mkono mrefu itaufikia ukweli pasipo kumuonea mtu.

b. Ajira ya Mhagama: Huyu alikuwa mwajiriwa wa chuo kabla ya kujiuzuru mwaka 2012. Ilikuwa ikifahamika tokea alipoajiriwa kuwa ana vyeti visivyo halali. Lakini chuo kiliendelea kumulinda pasipo kufanyia kazi. Baadae chuo kilimpeleka kusoma shahda ya uzamili chuo kikuu cha Dar es Salaam.

Baada ya kumaliza, chuo kikuu cha Dar es Salaam kilimnyima cheti, japo Msajili alimpandisha mshahara pasipokuwa na vyeti na kumlipa mshahara wa kiwango cha Uzamili. Suala hili liliandikwa kwenye vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya jamii. Walipoona kuwa Mhagama anasakamwa Msajili alimshauri ajiuzulu, wakati wa kujiuzulu alilipwa hela ya likizo. Pamoja na sheria kuwa wazi, juu ya mfanyakazi anayeacha kazi ndani ya masaa 24, kutakiwa kulipa mshahara wa mwezi mmoja kwa mwajiri bw Mhagama hakufanya hivyo.

Suala hili lilichunguzwa na Ofisi ya Rais Sekreatieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, jambo la kushanga taasisi hii ilikisafisha chuo kwamba hakukuwa na shida. Mambo la kujiuliza hapa:
i. Mhagama aliajiriwa lini Mwalimu Nyerere?
ii. Menejimenti ya Mwalimu Nyerere alijua lini suala hili la Mhagama kufoji vyeti?
iii. Baada ya kugundua Menejimenti ya Mwalimu Nyerere ilifanya nini?

Tukijibu maswali haya unagundua kuwa hata Ofisi ya Rais Sekreatieti ya Maadili ya Viongozi wa haikufanya kazi yake ipasavyo. Haiwezekani suala hili ligundulike miaka miwili nyuma, pasipo kuchukuliwa hatua (ushahidi upo). Hata baada ya kulitambua hili hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.

c. Ajira ya Bi Sara Mwakyusa: Muhadhiri huyu alipewa mkataba wa mwaka mmoja ilikufundisha Tawi la Zanzibar. Menejimenti ilitambua kuwa huyu mhadhiri ni muajiriwa wa manispaa ya Ilala shule ya Sekondari Azania, iliamua kuumpa mkataba wa ajira ya mwaka mmoja, huku menejimenti ikijua ni kosa kisheria.

d. Ajira ya Bwana Rodgiers Kiowi, mwaka 2010 chuo kilimuajiri ndugu Kiowi kama mhadhiri Msaidizi, wakati kikijua kuwa ni muajiriwa wa Taasisi ya Teknolojia ya Dar es Salaam. Tunasema chuo kilijua kuwa ni mwajiriwa wa DIT kwa ushahidi wa kimazingira.

i. Tokea aingie hajawahi kuingizwa kwenye payroll ya hazina na sasa ni muda wa miaka mitatu. Kwanini ichukue muda mrefu kiasi hicho wakati Hazina na MNMA ni viko karibu kama ni suala la ufuatiliaji.
ii. Pili, suala hili menejimenti ilifahamishwa na afisa mitihani aliyejiuzulu, lakini haikuchukua hatua badala yake alihudhuria kikao cha kamati ya taaluma.
iii. Mpaka sasa hajafunguliwa mashtaka ya kuiibia serikali.
Kwa ushahidi huu hakika Menejimenti ya chuo inajua suala hili, ndio maana msajili amekuwa akitoa ushauri wa kiupotoshaji kwa mkuu wa chuo, ili bw Kiowi asichukuliwe hatua.

Mh. Rais,
tunaomba uchunguze ajira hizi tata ambazo kwa hakika zimetafuna pesa za walipa kodi. Mfano Kiowi amekuwa analipwa mshahara na marupurupu yote kwa mapato ya ndani na sio hazina kwa muda wote.

7. UJENZI WA CHUO ZANZIBAR

Mh. Waziri Mkuu, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mkuu wa Chuo amefanikiwa kufanikisha kujenga Chuo Zanzibar, hili ni takwa la kisheria. Lakini ujenzi huu kwa mujibu wa kamati ya huduma za jamii za Bunge hakukudhi baadhi ya mambo. Licha ya Naibu Waziri wa Elimu kutoa agizo juu ya kutofunguliwa kwa jingo hilo, menejimenti ya chuo ilimdanganya Mh. Salim (Mkiti), likafunguliwa. Ufunguzi huo haukuhudhuriwa na kiongozi yeyote wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya ufundi. Hii ni kutokana msigano uliokuwepe kati ya menejimenti, Naibu Waziri wa Elimu na Kamati ya kudumu ya huduma za jamii ya bunge.

Mh. Raiskwa kuwa suala la ujenzi ni linaonekana, tunaomba utume watu wako wakaangalie ujenzi ule kama umekidhi matakwa ya ujenzi.

8. UKARABATI WA NYUMBA YA MTU KUWA HOSTEL YA WANAFUNZI ZANZIBAR

Mh. Waziri Mkuu, kuna suala ambalo linatia shaka, ambalo ni ukarabati wa nyumba ya mtu kuwa hostel ya wanafunzi Zanzibar. Hii ilikuwa ni njia ya kufanya ufisadi kwani haukufuata taratibu za kimanunuzi. Bahati mbaya, kamati ya huduma za jamii ya bunge ilifichwa juu ya ukweli huu. Yafuatayo hayakufanyika:
i. Menejimenti haikutanganza tenda ya kutafuta hosteli.
ii. Haikutangaza tenda ya zaidi ya shilingi 700 kwa ajili ya kukarabati jengo hilo.
iii. Pesa zaidi ya shilingi 700 zingeliweza kuanzisha ujenzi wa hosteli ya chuo, kuliko kinachofanyika sasa hivi kwa kulipa dola 20,000 kwa mwaka kwenye jingo hilo.

Mh. Rais, huu ni ufisadi mkubwa unaoendelea hapa, kwani hata bodi ya tenda haijui jambo lolote juu ya ujenzi huu

9. UJENZI WA HOSTELI YA KIGAMBONI

Mh. Raissasa hivi chuo kinaendeleza ujenzi wa hosteli hapa Kigamboni, Ujenzi huo uko kwenye awamu ya pili. Jambo la kushangaza katika awamu hii ya pili hakuna tenda iliyotangazwa hii ni kinyume na taratibu. Mkandarasi anayefanya kazi hii ni Yule Yule aliyejenga Zanzibar, aliyekarabati hosteli ya wanafunzi Zanzibar.
Ujenzi wa awamu ya pili haujulikani sehemu yoyote zaidi ya Mkuu wa chuo na Msajili, bodi ya Tenda haikushirikishwa kwa jambo lolote.

10. MADENI YA NDANI

Mh. RaisMadeni ya ndani ya yamezidi kuwa makubwa, wafanyakazi sasa wanadai posho mbalimbali kama posho za nyumba na posho za nauli. Tokea mwezi wa Saba posho hizi zimesitishwa pasipokuwa taarifa yoyote. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa sababu ya kustisha posho hizi, japo tunasikia tutalipwa mwezi wa kumi kwasababu sasa chuo hakina pesa.

Mh. RaisWahadhiri hupata posho kwa ajiri ya kusimamia mitihani, kusahishisha mitihani, Kusimamia tafiti za wanafunzi na vikao mbalimbali, mpaka sasa wahadhiri nao hawajalipwa. Japo la kushangaza hakuna sababu yoyote iliyotolewa. Sasa wahadhiri wanapanga kugoma kwa sababu ya posho zao.

Mh. Waziri Mkuu, wafanyakazi hawawezi kuzungumza jambo lolote, kwasababu mkuu wa chuo amekuwa akitumia vitisho kwa wafanyakazi kwamba yeye yuko karibu na Rais, hivyo hakuna mtu anayeweza kumfanya lolote.

11. VITISHO DHIDI YA WAFANYAKAZI (KUACHA KAZI) UBABE

Mh. Waziri Mkuu, kumekuwa na vitisho vya mara kwa mara kwa wafanyakati ambao huonekana wanakwenda kinyume na matakwa maovu ya menejimenti. Tokea mwaka 2005 wafanyakazi wengi sana wameacha kazi kwasababu ya kunyanyaswa na menejimenti ya chuo.

Mh. Raishili suala limekuwa likifichwa kwa mwenyekiti wa Bodi, akidanganywa kuwa wafanyakazi hao wameacha kazi kwasababu zao binafsi, wakati sio kweli. Mh. Raishili limesababisha mara kwa mara upungufu wa wafanyakazi hapa chuoni.

12. MANUNUZI

Mh. RaisSuala la manunuzi limekuwa tatizo kubwa hapa kwetu, msajili wa chuo amekuwa ndiye muhusika mkuu katika manunuzi ya chuo, suala hili limekubikwa misingi ya rushwa. Msajili ndiye afisa manunuzi ya chuo, watu waliopo katika kaitengo cha manunuzi wao ni alama tu, hawafanyi kazi zao. Japo wamekuwa wakishiriki kumfanikishia msajili mambo yake ili yaonekane yamefata taratibu.

Suala hili lilipelekwa PCCB, PCCB nao wamepewa rushwa na msajili, masjili amekuwa na mawasiliano makubwa na afisa mmoja wa PCCB makao makuu. Afisa huyo amekuwa akitoa siri za wapeleka taarifa, pia amekuwa akisaidia kuficha maovu ya MNMA. Kwa uhakika zaidi juu ya suala hili naomba uchunguze mawasiliano (simu) ya Msajili wa Chuo na maafisa wa PCCB waliokuwa wanashughulikia masuala ya MNMA.

Pia Taasisi ya PPRA baadhi ya maafisa wake wanatumika kuficha ukweli juu ya tuhuma zinazopelekwa huko. Pia uchunguzi ufanyike juu ya mawasiliano (simu) ya siri kati ya afisa mmoja wa PPRA na Msajili wa chuo.

13. MCHAKATO WA KUMPATA MWENYEKITI WA BODI NA MKUU WA CHUO


Mh. RaisMkuu wa chuo amemuandikia Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi barua za tarehe 19 na 24 Julai aweze kumuomba Waziri wa Elimu, akuombe umuungezee muda Dr. Salim Ahmed Salim. Hili tunakubaliana nalo kabisa, sio kwamba Dr. Salim katenda makubwa, hapana ni kwasababu tunaimani menejimenti haikumtumia ipasavyo. Tunaimani menejimenti mpya ikiwekwa na Dr. Salim akaendelea kuwa Mwenyekiti, chuo chetu kitabadilika sana, kuliko kilivyosasa.
Mh. Raisitakumbukwa kwamba Mkuu wa chuo wa muda wake wa miaka miwili uliyomuongezea unakwisha mwezi wa 12 2013. Jambo la kushanganza mpaka sasa hakuna mchakato wowote ambao umeanzishwa kwa ajili ya kumpata mkuu wa chuo mpya. Jambo hili linafanyika makusudi ili Kaimu Naibu Mkuu wa Chuo aje akaimu ukuu wa Chuo. Kukaimu kwake kutakuwa kunatoa nafasi kwa msajili wa chuo kuwa Mkuu wa Chuo kwa "remote".

Katika suala hili, ni muendelezo wa Mkuu wa chuo kutotaka kufanya kazi na watu wenye sifa na uwezo. Mfano Kaimu Naibu Mkuu wa Chuo amekaimu nafasi hiyo kwa muda wa mwaka mmoja na miezi miwili sasa. Mkuu wa chuo na amekataa kuomba utumishi ili chuo kiajiri mtu mwenye sifa yaani mwenye Shahada ya Uzamivu. Kwa kuwa Mkuu wa chuo na Msajili wanapenda watu wasiokuwa na uwezo na ambao wanawasikiliza wao basi mchakato wa Naibu mkuu wa chuo haukufanyiwa kazi.
Mh. Raistunakuomba kwa dhati, uingilie mchakato huu, ili malendo yao ya kukaa na kaimu mkuu wa chuo asiye na sifa yasiweze kufikiwa.

14. WANATAALUMA KUTOKUWA NA SIFA


Chuo chetu kinakabiliwa na tatizo kuwa katika taaluma, wanataaluma waliowengi hawana sifa ya kufundisha. Ajira zao zina utata mkubwa sana, hii imesababisha wahadhiri wengi kutojiamini kwa kuwa hawana sifa za kufundisha elimu ya juu. Taratibu za walimu wa elimu ya juu wanatakiwa wawe na ufaulu angalau wa GPA ya 3.5 lakini wahadhiri wengi wako chini ya hapo.

Pia tatizo hili linatokea katika masomo ya ufundishaji, (specialization) mfano Mhadhiri aliyesoma shahaha ya "Political Science and Public Administration" (PSPA) na ufaulu wake ukawa ni 3.2 GPA, shahada ya Uzamili akasoma "Development Studies". Kwa MNMA Mwalimu huyu anaweza kufundisha "Public Policy" kwa wanafunzi wa shahada. Mwalimu huyu ufaulu wake katika somo hili ulikuwa alama "C" wakati akisoma shahada ya kwanza, na shahada ya pili hakusoma somo hili. Hivyo unakuta Mwalimu wa huyo hajui anachokifundisha licha ya wanafunzi kulalamika.

Mfano hapo juu ni baadhi tu, ya wahadhiri waliopo hapa, wengi hawana sifa kama vyuo vingine. Ndio maana hata chuo chetu hakisikiki kutokana na aina ya walimu tulionao.

15. SERA YA MAENDELEO YA WAFANYAKAZI (STAFF DEVELOPMENT POLICY)

Maendeleo ya wafanyakazi ni motisha kwa wafanyakazi wenyewe, tokea mwaka 2005 chuo kianzishwe hakuna sera ya maendeleo ya wafanyakazi. Sera hii ni muhimu sana kwa maendeleo ya taasisi. Kutokuwepo kwa sera hii wafanyakazi wamekuwa hawapelekwi shule, hivyo kufanya wafanyakazi wengi kuanza kusoma kwa kuibia.

Pia wapo wafanyakazi waliokataliwa kwenda kusoma kwa madai kuwa utendaji kazi wao hauridhishi.

Tokea mwaka 2005 mpaka leo, mfanyakazi mmoja tu ndiye aliyeweza kuhitimu shahada ya Uzamivu, tena kwa juhudi binafsi, kwani chuo kilikuwa kinamlipia ada tu.

Miaka nane wa uwepo wa Mkuu wa chuo huyu ni mfanyakazi mmoja tu ambaye amepata PHD, japo hata yeye upandishwaji wake daraja umekuwa na shida kubwa.

16. MSAJILI WA KUWA MHADHIRI MWANDAMIZI (LECTURER)

Upandaji wa madaraja katika elimu ya juu upo wazi, Msajili wa chuo ameajiriwa na chuo kama afisa Tawala, baadae akapewa nafasi ya msajili. Msajili hana uzoefu wowote katika kufundisha na hajawahi andiko lolote kabla na hata akiwa mwajiriwa wa MNMA. Jambo la ajabu msajili sasa ametunikiwa cheo cha mhadhiri mwandamizi (Lecturer), pasi kuwa na sifa. Menejimenti imeidanganya bodi ya chuo, kwa kuumpa mshahara ambao sio stahili yake.

17. KAMATI YA UBORA YA CHUO

Ofisi hii imekuwa ni picha tu, wakuu wa idara hii wamekuwa wakilipwa posho za ukuu wa idara pasipokuwa na kazi yoyote. Tokea 2005 chuo kianzishwe kamati hii haijawahi kukaa kikao hata kimoja wakati ubora ndio suala muhimu katika mustakabali wa taasisi yetu.

18. MITIHANI KUTOSAHIHISHWA

Mwaka wa masomo 2011/2012 katika tawi la Zanzibar, ilibainika kuwa mitihani na majaribio ya somo la "Bookkeeping" haikusahihishwa, hivyo matokeo yalipikwa. Hii ilisababisha matatizo makubwa kwa wanafunzi kwani wengi walifeli somo hilo. Matokeo yaliyowekwa yalikuwa yamepikwa hivyo kuondoa uhalisia. Mwalimu wa somo husika hakuchukuliwa zozote.
Menejimenti ya chuo kwa kushirikiana, mkuu wa tawi Zanzibar na afisa mitihani, wa chuo walificha ukweli huku wakiwaacha wanafunzi wakipoteza haki zao. Suala hili lichunguzwe kwani limewasababishia wanafunzi kuapta alama zisizo kuwa zao.

19. UDAHILI WA WANAFUNZI

Udahili wa wanafunzi umekuwa ukishuka mwaka hadi mwaka, udahili huu umesababisha kushuka kwa mapato ya chuo. Kutoka wanafunzi 2235 mwaka 2010/2011 hadi wanafunzi 1742 mwaka 2012/2013.

Pia ofisi ya udahili imekuwa ikijihusisha na rushwa kwa kushirikiana na ofisi ya mitihani. Katika mwaka wa masomo 2012/2013 wanafunzi wa ngazi ya shahada 24 walikuwa hawana sifa. Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa dhidi ya ofisi hiyo. Ili kuficha uovu kwenye ofisi ya udahili, mpaka sasa mafaili ya wanafunzi wote hayana kumbukumbu zao, hili linafanyika ili ionekane kuwa wanafunzi wote hawana kumbukumbu kama walioingia pasipokuwa na sifa.

Mh. Raiskuna maswala mbalimbali ya ukiukaji wa taratibu za mitihani, ukiukwaji huo umefanywa na Naibu Mkuu wa chuo, jambo la kushanga hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Afisa mitihani huyu naye achunguzwe kwani amekuwa akishirikiana na afisa udahili kufanya ufisadi. Pia ana tuhumiwa kutengeneza vyeti feki na kuwapa wanafunzi waliofeli.

20. OFISI YA UHASIBU

Ofisi ya uhasibu inakiuka taratibu nyingi za kifedha kwa kisingizio cha raslimali watu. Mh. Tunaomba ufanyie uchunguzi ofisi hii kwa kina utaona uozo uliopo. Kwasasa chuo kimemuongezea muda mhasibu mkuu aliyemaliza muda wake, hili lilifanyika ili muhasibu huyo aweze kuwafichia maovu. Pia kampuni inayofanya ukaguzi wa ndani imetiwa ndani ya mifuko ya wakubwa hawa. Suala la pre auditing halifanyiki kwa makusudi kabisa

21. PESA ZA PENSHENI

Mh, Pesa za Pensheni za michango ya wafanyakazi za mwezi wa Agosti (8) 2013 zimeliwa. Pesa hizi ni pesa halali za wafanyakazi, kutokana na ukata mkubwa uliokikumba chuo kwasababu ya ufisadi pesa hizo zimetumika kwa ajili ya vikao vya wakubwa. Serikali ilileta michango hiyo ya wafanyakazi.

22. AJIRA MPYA

Tunaishukuru Tume ya ajira kwa kuingilia kati mchakato wa ajira ambao chuo tayari kilikuwa kimefanya bulanda tayari, kwa kutaka kuajiri watu wasio na sifa. Baadhi ya wakuu wa idara ambao walipewa uwezo wa kushort list walikuwa wamekwisha pokea rushwa ya pesa wengine waliomba rushwa ya ngono, ushahidi upo. Ukitaka kupata ushahidi huo chukueni namba za simu za wakuu wa idara angalieni pesa zilizoingia kwa Tigo na M-pesa. Japo wapo waliopewa cash.

Mh. Raistunakuomba upitie madai yetu haya, jambo haya ni baadhi tu ya malalamiko ya wafanyakazi wa MNMA. Tuma watu wako waje wajionee uozo uliokidhiri na kupindukia. Kuna malalamiko ya mfanyakazi mmoja mmoja, pia ya vyama vya wafanyakazi.

Pia utakumbukua ulipokuja kututembelea chuo chetu, ulituambia kuwa tuko kimya sana, ukimya wetu ni matatizo yaliyokidhiri hapa kwetu. Pia viongozi wetu hawafanyi jitihada zozote za kusikikia kwa kuogopa tutaonekana, na viongozi wataweza kujua matatizo yaliyopo. Njia hii Mkuu wa chuo ameitumia sana ili kufanikisha adhima zake mbaya za kifisadi.

Natumaini ombi letu litafanyiwa kazi.

Sisi wafanyakazi
MNMA
Nakala kwa:
Ofisi ya Rais Sekreatieti ya Maadili ya Viongozi
 
Tatzo menu mnajadil kinafiki na kujficha n Kama we haujui mabadiliko makubwa yanayokuja mnma subir upepo Wa bahari.....mwanamapinduz Wa kweli hafi...bunduki ikaanguka chini....Ukweli haujawah kushindwa.....IPO siku nitawasema mafisadi live kwa majina

Mnatumia laptop na intranet znazojulikana

Mlifelisha mtoto Wa MTU mkidai mapenz

Mlichangisha gharama za matibab kinyume na Serkal..

Mkataka mkataba zaidi...mmechemka...

Bado we mpambe uliebaki...

Endelea kufkir vjana watakufa hawajaona mabadiliko hapo
 
Mkuu waeleze hawa waganga njaa wanaojisifia kwa ufisadi wao wanaoufanya kanakwamba wameiweka serikali mifukoni mwao. Kwa kwali mafisadi hawa ni janga kwa wanafunzi wa chuo cha mnma na taifa kwa ujumla. Natamani kushuhudia siku wakifagiliwa na kufikishwa mahakamani.
Tatzo menu mnajadil kinafiki na kujficha n Kama we haujui mabadiliko makubwa yanayokuja mnma subir upepo Wa bahari.....mwanamapinduz Wa kweli hafi...bunduki ikaanguka chini....Ukweli haujawah kushindwa.....IPO siku nitawasema mafisadi live kwa majina

Mnatumia laptop na intranet znazojulikana

Mlifelisha mtoto Wa MTU mkidai mapenz

Mlichangisha gharama za matibab kinyume na Serkal..

Mkataka mkataba zaidi...mmechemka...

Bado we mpambe uliebaki...

Endelea kufkir vjana watakufa hawajaona mabadiliko hapo
 
Yule muombaji mkuu wa rushwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike a.k.a Bukuku yupo, bado hajaukwaa tuu. vipi Mpasha CD wa wenye fenda na Kabelama mzaa na waume wa watu yupo. Karibuni tutatoa data zote hadharani. Kigodoro kimeondaka na Kizee chake wengine watafuata.
Mkuu wewe bongo lala utashindanishwa na nani ilhali kichwani kutupu?
Hamjijui kuwa wengine kazi na uwezo wenu ni kutayarisha chai na kusafisha vyumba wanaume wengine watumie.
 
Vipi na Kibabu kilichorudisha nyuma miaka afya ikoje, angalieni asiwamalizie wake zenu mkaondoka wote. Maana yeye kila sketi saizi yake na hatakagi kinga maana anajua maana yake. Wachakachua matokeo ya wanafunzi wapo. Baada ya miaka mitano mtanielewa nasema nini mtakapoanza kupukutika msipochunga michepuko, hamuani ajabu vifo hapo vimeongezeka shauri yenu ila wanafunzi waacheni mtembee wenyewe.
Jamani naomba anayefahamu anijuze,hivi Mr. Mbota yupo wapi, eti kuna mtu aliniambia amechizi,sijui kweli? Nisaidieni. Na mnafiki wangu bwana Kappia yupo bado hapo chuoni?
 
Mfa maji anatapatapa, bora ufagio wa chuma pekee uwapitie ila na U.K.M.W.I. utawamaliza kwa kujifanya vidume. Nawasihi muwaache wanafunzi mmalizane wenyewe. Nasikia Kappia hata upepo unamsukuma, Kibabu cha kurejesha miaka nyuma mwili uko kama wa doa za chui. Kizee cha godoro kimebaki tumbo tuu. Wewe pia hauko mzima ndio maana hata mchango wako humu haueleweki unatetea nini. Kumbukeni kuwahi A.R.V.s ila nazo zina mwisho wake.
Wajanja wana kula vituz, weye bongolala una bwabwaja mitandaoni.
Hiyo ndiyo ile akili ya kuku.

Kwa taarifa ysko mbinu zenu zimegonga mwamba na ndiyo maana badala ya kufanya kazi taifa iliyowapa kazi kunusa makalio na uharo wa wenzenu.
Kazi za kusafisha vyoo baada ya matumizi ya wenzenu inawafaa, mkono wako si unaenda kinywani?
Taarifa mnakozipeleka twazipata, sasa na wewe hebu rudisha nyuma miaka yako ukione.
 
Wee jifariji utafiri Serikali hii iko mifukoni mwenu, nakuhakikishia siku zenu zinahesabika kwani yato mnayofanya kujinusuru yanafahamika. Jitahidini kupiga foleni kwa sangoma kwani siku yenu yaja. Mle vya mwisho kufunika maradhi mliyonayo ila hamkwepi ya sasa maana Mzee wa godoro hayupo naye anaganga njaa mtaani.
Ukiona una pitwa pitwa na mambo ya kawaida ujijue weye ni fa.la tu.
Tafuta kazi ya kulisha familia ysko.
 
Mfa maji anatapatapa, bora ufagio wa chuma pekee uwapitie ila na U.K.M.W.I. utawamaliza kwa kujifanya vidume. Nawasihi muwaache wanafunzi mmalizane wenyewe. Nasikia Kappia hata upepo unamsukuma, Kibabu cha kurejesha miaka nyuma mwili uko kama wa doa za chui. Kizee cha godoro kimebaki tumbo tuu. Wewe pia hauko mzima ndio maana hata mchango wako humu haueleweki unatetea nini. Kumbukeni kuwahi A.R.V.s ila nazo zina mwisho wake.
Utauza makalio mwaka huu.
 
Kwenye kutetea nchi hakuna rafiki
...mmetujengea jengo bovu....akiyamungu ombeni siku nisipate maiki nyie hapo mbele ya bwana mkubwa

Achen ujinga tmizen wajibu wenu

Tunaweza kuja hapo at a kwa maandamano kuwa ngoa

Achen ujinga
 
Mkuu waeleze hao waganga njaa wanatuharibia elimu ya nchi yetu. Sisi wanafunzi hata tunasita kurudi pale chuoni kutokana na usanii wa elimu uliopo na hao wasanii bado wapo. Hawa wanaotetea uozo huo humu ni hao walimu waomba rushwa ya ngono na wachakachuaji wa matokeo ya wanafunzi.
Kwenye kutetea nchi hakuna rafiki
...mmetujengea jengo bovu....akiyamungu ombeni siku nisipate maiki nyie hapo mbele ya bwana mkubwa

Achen ujinga tmizen wajibu wenu

Tunaweza kuja hapo at a kwa maandamano kuwa ngoa

Achen ujinga
 
Hana lolote ila ni Mzee wa Totos, alikuwa na kigodoro chake tawi la Chuo Zanzibar ambacho kimeondolewa kwa kutokuwa na sifa na maadili. Magotti kafundshwa wizi wa mali za umma na Luambano hadi amkapa zawadi ya kurudisha miaka nyuma. Pia amepigwa stop Lumumba kwa kuwa bingwa wa kufitini makada wenzake.
Huyo magoti ndo nani katika nchi hii
 
Hana lolote ila ni Mzee wa Totos, alikuwa na kigodoro chake tawi la Chuo Zanzibar ambacho kimeondolewa kwa kutokuwa na sifa na maadili. Magotti kafundshwa wizi wa mali za umma na Luambano hadi amkapa zawadi ya kurudisha miaka nyuma. Pia amepigwa stop Lumumba kwa kuwa bingwa wa kufitini makada wenzake.
Kwani unafikiri haijulikani na wewe jinsi ulivyowekwa unyumba na mwanaume mwenzio.
Tatizo ni wivu ulikuwa unatafuta wa kukupandisha chati mujini.
Rudi shamba ukalime, kwani lazima uajiriwe Kivukoni?
 
Hata hivyo nalima ila nina uchunga na uozo unautete wa nyie na wenzako wapenda ngono na kuharibu elimu na hadhi ya chuo hadi kimedharaulika kila mahali. naamini wahusika wamekuelwa na wachukua kilicho cha kweli kuifanyia kazi maana serikali ipo nyuma kufuatilia yanayojiri. Ili jitahidi kutumia kichwa kutoa mawazo yenye mashiko na namna kuiokoa chuo hicho.
Kwani unafikiri haijulikani na wewe jinsi ulivyowekwa unyumba na mwanaume mwenzio.
Tatizo ni wivu ulikuwa unatafuta wa kukupandisha chati mujini.
Rudi shamba ukalime, kwani lazima uajiriwe Kivukoni?
 
Hata hivyo nalima ila nina uchunga na uozo unautete wa nyie na wenzako wapenda ngono na kuharibu elimu na hadhi ya chuo hadi kimedharaulika kila mahali. naamini wahusika wamekuelwa na wachukua kilicho cha kweli kuifanyia kazi maana serikali ipo nyuma kufuatilia yanayojiri. Ili jitahidi kutumia kichwa kutoa mawazo yenye mashiko na namna kuiokoa chuo hicho.
Hujakatazwa kungonolewa,though abomidable, this is a free country.
Hukuzaliwa kwa ajili ya chuo hicho, pack up your ass and move on!
 
Mkuu haya maelezo yako ni tuhuma mahsusi na kwa swala ambalo liko wazi. Wasilisha rasmi TAKUKURU ukiwa na vielelezo vya kutosha au maelezo ya tips za informer ambao wanaweza kuwapatia TAKUKURU hints zaidi wakaunganisha Dots hii itasaidia kuwa kamata hao panya wanaotafuna raslimali za nchi.

Huku mtandaoni ni vigumu sana kufanyiwa kazi labda kama ni tuhuma zitakazoelekezwa kwa viongozi wa juu wa CHADEMA.

Mkuu hii tayari ni tip tosha ilichobaki ni Takokuu (PCCB) ni kujaza nyama tu ili kuthibitisha.
 
Naona umeadhiriwa na lile gonjwa linalowasumbua hapo chuoni hadi vifo vimeongezeka, nakushauri kapime ili ujielewe. Umesahau kuwa hicho ni chuo cha umma umelewa na wenzako hadi umejisahau.
Hujakatazwa kungonolewa,though abomidable, this is a free country.
Hukuzaliwa kwa ajili ya chuo hicho, pack up your ass and move on!
 
Back
Top Bottom