Hot Lady
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 1,035
- 638
Kaka, bila shaka utakuwa nje ya nchi. Ila nikuhakikishie kuwa Tanzania ipo salama zaidi kuliko nchi nyingine ya Afrika ya Mashariki kutokana na uimara wa TISS. Tuwapingeze na kuwatia moyo na si hizi kejeli zenu. Au ni hasira ya kunyimwa uraia pacha?Hakuna usalama wa taifa bongo hii pale kumejaa wachuuzi tu wa kawaida,kila mtu ni msaka tonge sasa kwa mazingira hayo hata usalama wenyewe upo wapi hapo?