Dk. Hamis Kigwangalla aikana kampuni ya Qnet

Hawa Qnet nadhani ni wale niliowafahamu tangu 2006/2007 kama sikukosea. Wao ni typical Multilevel marketing kama akna desi, ila wao wanafanya hivyo kupitia promotion ya bidhaa mbalimbali. Nafikiri ni kama wanavyofanya forever living na makampuni mengi ya dawa za kichina.
 
Tangu wamekatwa mikia na stend utd, hawaungi tena! Ubingwa utaendelea kuwa story za bulicheka" bado kuwakata kichwa tukikutananao!"
 
Mara nyingi kiongozi akienda kwny mambo kama haya huwa mwishoni anapewa bahasha nene ya shukrani
True 100%
Waziri unazindua bomu eti kisa unaogopa kuwakatalia? Hujui kuwa wewe ni Icon tena ya Taifa wengine sisi ni mbumbumbu tunajiaminisha kupitia kauli na matendo ya viongozi wetu? Kwa ufunguzi huu mamilioni ya watu wamepigwa kupitia icon yako mkuu
BADO tatu mzuka!!!Kiongozi mkubwa anashiriki kutoa pesa eti za ushindi kwa lengo la kuhamasisha watu wacheze kamari zaidi na kupigwa jamanijamani my Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Huyo waziri na katibu mkuu wa wizara waliokata utepe kufungua ofisi za matapeli Hawa wawekwe kundi gani ??
 
Ila jamaa anapenda picha.
 
Hiyo Qnet ni Kampuni gani? Nayo inahusika na mambo ya betting? Maana Nafikiri betting Ndio 'viwanda' vinavyoanzishwa kwa wingi sana hapa nchini kwa Sasa, hata vijijini watu wana bett!
Nadhani ni kampuni inayojishughulisha na biashara mtandao. Wewe ukitaka kujiunga unanunua bidhaa kwao - yule aliyekuunganisha analipwa commission - nawe ukiunganisha mwingine akinunua bidhaa unalipwa commission

Kadri unavyoongeza uzao generation ndivyo unavyopata faida kupitia commissions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…