BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Dk Chami: Wafanyabishara feki wageni ondokeni nchini Send to a friend Friday, 10 December 2010 20:49
Fidelis Butahe
WAZIRI wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dk Cyrill Chami jana alitangaza vita dhidi ya wafanyabishara wa kigeni wanaofanya shughuli kinyume na leseni zao, akiwataka waanze kurejea kwao kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria. Chami ametoa agizo hilo wakati mitaa ya miji kadhaa nchini ikizidi kufurika wageni ambao wamejikita kuanzia kwenye biashara kubwa hadi ndogondogo, idadi kubwa ya wanaofanya kazi hizo ikiwa ni Wachina.
http://www.mwananchi.co.tz/habari/4-habari-za-kitaifa/7291-dk-chami-wafanyabishara-feki-wageni-ondokeni-nchini